nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Nahitaji Fenugreek Seed

    Nahitaji fenugreek seed nipo mkoani Mara anayeuza anicheck please
  2. buyoya419

    Nahitaji kujua gharama ya kujenga msingi wa nyumba hiyo

    Habari zenu ninahitaji kufahamu gharama za kumaliza msingi wa nyumba hiyo.Ninapendelea na upande wa jiko huko kuwe na kibaraza kama cha mbele Kiwanja tayari kipo,nataka nifahamu gharama za msingi ili nianze hatua ya kwanza hiyo Maeneo hayo msingi lazima uwe na lenter na nguzo za pembeni muhimu
  3. Zekoddo

    Nahitaji kifaa cha kuwasha taa za solar Outomatically

    Habari Wakuu,, Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua). Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home, kuanzia mida ya 1:30 - 2:00 usiku na familia yangu imeindoka kwa muda. Nahitaji nipate kifaa...
  4. Clark boots

    Nahitaji chaja yenye Output kubwa

    Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii...
  5. S

    Nahitaji Oven ya Kuokea mikate ya Meza ya Bwana.

    Habari wanaJF, Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie. Whatsapp ni 0748707707
  6. Amani Benson

    Nahitaji alluminium Sheets.

    Habari za muda huu JF wadau wote, kama kichwa cha uzi kilivyo elekeza, nahitaji hiyo bidhaa tajwa, kwa mtu anaejua chimbo kwa kkoo au ni kiwandani anaweza kunichek katika namba hii 0653914963, size inayotakiwa ni mm 0.2
  7. Manfried

    Wakuu baada ya changamoto sasa nahitaji ajira ya office attendant serikalini .

    Wakuu asiyekubali kushindwa sio mshindani . Nipo hapa mnishike mkono najua JF ni familia kubwa. Nahitaji Ajira ya office attendant Elimu yangu ni Advanced diploma. Ila sijafanikiwa kupata Ajira miaka minne. Nipo tayari kuanzia chini , nahitaji Ajira ya office attendant . Nina Cheti cha form...
  8. kancher

    Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  9. Hero Radio

    Nahitaji wawekezaji kwa wazo langu

    Habari wakuu! Suala ni hili wakuu, Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ). Pia saivi niko...
  10. chazi piere

    Nahitaji mkopo wa shilingi milioni 2

    Dhamana ni shamba/nyumba Marejesho ndani ya miezi 2 Riba sisizi 20% Nipo kibaha Contact 0678804442
  11. bushoke wa dar

    wakuu nashida na kazi

    kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
  12. Mike Moe

    Nahitaji kufungua NMB chap chap account

    Habari za asubuhi wanajamii Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
  13. E

    Nahitaji elimu kuhusu biashara

    WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni biashara gani italipa
  14. marcoveratti

    Nahitaji apple developer accounts

    Mambo vipi wakuu Kwa waliowahi miliki Apple developer accounts kwa ajiri ya kupublish app zao app store Nahitaji account hizo kwa offer nzuri Asante.
  15. W

    Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

    Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida. Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1 Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo Euro Truck Simulator 2 MINIMUM: OS: Windows 10 64-bit Processor: Intel Core...
  16. Mashamba Makubwa Nalima

    Niko na shida nahitaji kumbadilisha jina mwanangu kutoka Samia kuwa Amina, Utaratibu ukoje?

    Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri...
  17. Saoka

    Nahitaji router itakayonifaa nimehamia Tarime kikazi

    Habari ndugu zangu nahitaji router nipo Tarime ni ipi itakayonifaa kuendana na mazingira ya huku??
  18. TheGreatASA

    Nahitaji Mtaalamu wa Wordpress, anayefahamu vizuri Site Migration.

    Hello Wana JamiiForum. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji Mtaalamu wa WordPress Website anayefahamu vizuri Site Migration. Lengo kuu la uhitaji huo ni kutaka kuhamisha website zangu kutoka Hosting wa sasa na kuzipeleka Kwa hosting mwingine. Kwa yeyote aliyekuwa tayari...
  19. NgimbaErick

    Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

    Asanteni Nimeshapata!
  20. emmarki

    Nahitaji vifaa vya uhamilishaji (artificial insemination kit)

    Kama kichwa kinavyosema, Nahitaji duka au mahali wanapouza vifaa vya kupandikiza mimba kwa wanyama..almaarufu "uhamilishaji" Nahitaji hivi vifaaa hapa chini:- 1.Liquid nitrogen container lita tatu 2.pistolet moja 3.shealth 4.PD gloves 5.surgery tools
Back
Top Bottom