Habarini wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 28 nipo Dar ni camera man video editor na graphic designer pia ni content creator.
Sina kazi kwa sasa, nahitaji kazi yoyote ya kujikimu kimaisha maana kwa kazi za video production bila conmection huwezi pata, hivyo nikaona nitafute kazi yoyote ile ili...
Naitwa Jumanne
Nina umri wa miaka 29
Mkazi wa Ifakara morogoro, Kwa Sasa napatikana Mwanza kikazi. Ni mrefu kiasi. Mweusi kiasi. Sio mnene.
Nahitaji Mwanamke aliye tayar Kwa ajili ya kuanzisha familia. Umri kuanzia miaka 18-27.
Awe mweusi kiasi.
Mnene kiasi.
Dini yoyote.
Kabila lolote.
Aliye...
Naombeni ushauri kwa wale wanaozijua gari za Toyota corona, maana kuna mtu anaiuza na ni namba B, nipo kweny process ya kuilipia na kuifanyia matengenezo mdg mdg.
Ndugu zangu, Nawasalimu.
Nina miliki boti ya uvuvi yenye uwezo wa kuvua bahari kuu, chombo kinaweza kubeba hadi tani moja na nusu ya samaki. Kwa mazingira yetu ya Kitanzania, chombo hiki ni cha kisasa na kinatumia injini ya ndani (Inboard) ya isuzu yenye HP 95.
Nahitaji nahodha mjuzi, mzoefu...
Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au kuchati kwenye kituo kinachoratibu mpango huo, akikamilisha taratibu huchukuliwa na kupelekwa kwenye...
Wandugu habari za siku,
Ninafikiria kufungua biashara ya kuuza sukari kwa jumla, naamini ni bidhaa inayotumiwa na watu wengi kila siku na uhitaji wake hauna shaka, kwa yeyote mwenye ufahamu au anayejuwa changamoto zake naomba mawazo yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.