nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji Partner wa kufanya naye biashara.

    Habari wakuu. Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi. Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu. Nipigie simu tuongee vizuri mkuu. 0754693556
  2. S

    Nahitaji gari kwa ajili ya kufanyia UBER/BOLT

    Nahitaji gari kwa hesabu au mkataba,,nipo dar es salaam,,.0678207562
  3. S

    Nahitaji Pumba za Mahindi na Mashudu ya Alizeti kwa Wingi

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi. Kuna tenda mezani. Zinahitajika: Pumba za Mahindi (Tani 74) Mashudu ya Alizeti (Tani 22) Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti...
  4. Nahitaji printer ya epson yenye hali nzuri. Nipo moshi

    Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro Njoo na ofa yako Mawasiliano. 0672701329
  5. Nahitaji mwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu singida

    habar za mda huu wadau wote wa sekita ya madini Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji muwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu mkoan singida nina lesen pml kuna maduara tayar udhalishaji ni 1gram kwa tani hadi 5gram kwa tani inategemea ni duara lina urefu gani lkn maduara yanapata miamba...
  6. 3

    Nina sh 9m nahitaji gari kati ya haya

    Habari zenu. Nahitaji anayeuza kati ya gari hizi Ani pm tufanye biashara 2007 Nissan xtrail 2005 Suzuki grand Vitara Nissan dualis
  7. Inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine? Inachukua muda gani?

    Habari za humu wakuu, niko na swali hapa; Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
  8. Nahitaji kiwanja bajeti 4ml

    Nahitaji kiwanja Buswelu,mwanza kwa bajeti tajwa hapo juu. Asante
  9. Nahitaji mke wa pili nioe ndani ya miezi 5

    Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali...
  10. Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

    Habari zenu wakuu? Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills. Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway...
  11. Nahitaji wauzaji Terrazo floor materials

    Habari naomba nipate wauzaji wa material ya terrazzo floor
  12. Watengenezaji Apps mje mnisaidie kitu.

    Wakuu ninashida na App, Mtu anaejua kudevelop mobile App using Android studio naomba msaada wako.
  13. Nahitaji mchai chai kilo 500

    Heshima kwenu wakuu. Nahitaji mchai chai mbichi (Lemon grass) Nahitaji kilo 500 max ila hata ukiwa na kilo 50 nachukua Kama mzigo unao karibu Whatsapp 0688301635
  14. Nahitaji filamu (Bongo movie) iitwayo "The Avengers" ya Jennifer Kyaka.

    Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao... 1. Jennifer Kyaka - Sterling. 2. Yusuph Mlela. 3. Jackline wolper. 4. n.k Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
  15. Z

    Nahitaji gari ya mkononi

    Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
  16. Nahitaji uvumilivu

    Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya...
  17. Msaada: Nahitaji passport ya kusafiria

    Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho. Natanguliza shukran🙏
  18. Nahitaji mke wa kuoa

    Nina miaka 33 Dini mkristo Elimu Degree Kazi muajiriwa Natafuta mke asizidi miaka 30 Sijabadili Id kama wengine ni maisha yangu ya nyuma tuu karibuni. Kigezo Awe tuu na hofu ya Mungu. Awe tayari kuzaa nitamuoa kabisa Dini yeyote
  19. Nahitaji kuanzisha blog

    Habari zenu wana jf, nimepata wazo la kuanzisha blog, nahitaji kufahamu faida na hasara kuhusu blog, kwa wale wanaojihusisha na hii kitu maana bado nahitaji kufahamu zaidi kuhusu blog. Karibu.
  20. Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga. Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…