naibu waziri ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ardhi: Msiweke Lamination kwenye hati zenu za Ardhi.

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (@mmuyakaspar ), ametoa wito kwa Wananchi nchini kuacha kuweka Lamination kwenye hati za umiliki wa Ardhi, akieleza kuwa kitendo hicho kinaweza kuleta changamoto katika uhakiki na matumizi ya nyaraka hizo. Mhe. Mmuya ametoa...
  2. JamiiForums Tanzania Mmuya aanza ziara ya kikazi mkoani Mtwara

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Kanali Donald Wilson Msengi. Mara baada ya kuwasili, Mhe. Mmuya amepokea taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…