Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeamua kujenga Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (NeST) ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa katika mfumo wa manunuzi ya serikali.
Kikwete ameyasema...
NAIBU WAZIRI ENG. MAHUNDI: ZAIDI YA WATU 233,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA MUGANGO- KIABAKARI-BUTIAMA.
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama waweze kukamilisha utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo ili wananchi...
MANENO YA NAIBU WAZIRI PINDA YATAKA KUMLIZA DIWANI WA KISAKI SINGIDA
Maneno ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Geophrey Pinda wakati wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kisaki na Mwekezaji wa Sekta ya Nyuki katika eneo la Kisaki B Manispaa ya...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ametembelea eneo ambalo kumetokea ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Ally’s Star lenye namba T.178 DVB likitoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kugonga kichwa cha Treni katika makutano ya reli na barabara, nje kidogo ya Mji wa Manyoni Mkoani...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemaliza ziara yake ya kikazi kutembelea na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Vyombo vilivyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na kusikiliza na kutatua kero zinazojitokeza lengo likiwa ni kuboresha utendaji kazi...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini (Mb), ametembelea Gereza Geita lililopo Mkoani Geita na kuzungumza na Wafungwa pamoja na Mahabusu wakati alipofanya ziara yake ya Kikazi Mkoani humo Novemba 25, 2023.
Mhe. Sagini amefika Mkoani Geita ikiwa ni ziara yake ya kawaida...
Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo .
Incase akajitokeza askari akataka kumhoji mwanasiasa basi mfumo unaweza kuelekeza ahojiwe yeye au...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha wanafungua matawi mikoani ili waweze kutoa fursa kwa Watanzania wengi kupata elimu hiyo.
Kihenzile ameyasema hayo...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama.
Akizungumza na...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama.
Akizungumza na...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama.
Akizungumza na...
Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile (Mb) ameonana na watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Anga (TCAA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Ndugu Hamza Johari.
Naibu Waziri Kihenzile...
Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mjini Iringa.
Akizungumza wakati anazindua mpango huo wa usambazaji...
Mheshimiwa waziri agizo lako la kumtuma naibu waziri kutembelea Halmashauri ambazo wakurugenzi hawajawalipa hela za kujikimu waajiriwa wapya halistahili Tu pongezi Bali na kuungwa mkono pia.
Ila hapa nimetembelea wailayani Kilwa kwenye hospital ya Kinyonga nimekutana na malalamiko ambayo pia...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini mkoani Manyara Pauline Gekul amewataka wazazi na walezi kufuatilia mienendo ya watoto wao pindi wakiwa mashuleni pamoja na kushirikiana na walimu ili kuboresha mazingira ya Shule pindi inapohitajika mchango wao...
Tanzania imekuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya Maisha katika kaya, hali iliyopolekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akifungua...
Hakika naona utendaji kazi mzuri sana.
Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka.
1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende.
2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi.
Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika Halfa ya Uzinduzi wa Idara Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) iliyofanyika Novemba 8, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Karimjee Hall Jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.