Bunge la Tanzania leo Jumatano, Januari 28, 2026 limewathibitisha wabunge, Deo Mwanyika, Cecilia Pareso na Najma Murtaza Giga kuwa wenyeviti wa Bunge.
Watatu hao wamethibitishwa baada ya Spika wa Bunge, Mussa Zungu kuwahoji wabunge kama wanaafiki kuwa wenyeviti. Wabunge hao waliteuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.