Habari zenu wadau
Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.
Sasa tatizo...
Juzi bana katika harakati zangu za kutafuta mchele nikabahatika kukutana na mtoto mzuri kwenye daladala, stori za hapa na pale mara paaaap!
Nikaomba namba mtoto akanipa lakini naona ayupo ACTIVE shida itakuwa nini apo au anataka kubembelezwa?
Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.
[emoji117]
MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]
Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa...
Habari gani wadau na wanajamvi wenzangu wa jamvi pendwa la MMU?
Eti mtu nimekuwa napiga naye stori kila mara kwenye ki glosari kimoja hivi. Sasa nikawa nimemuelewa, huyu dada ni mzuri kusema ukweli halafu anakamwili fulani portable sana yaani [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].
Nikawa...
Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa.
Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane...
Habari wana MMU,
Nataka kusema na wanaume, mtu ukimuomba namba ya simu akikukatalia elewa tu kuwa umekosa jamani sio unalazimisha utadhani unamdai mtu khaa.
Namba umekosa unaanza kumfata mtu unalazimisha uende anakokwenda akisimama unasimama akikatisha upo na maswali kama polisi kwani lazima...
Nahitaji msaada.
Hii kitu imekuwa inanisumbua kwa muda mrefu. Mtu unawezaje kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi. Najua inahusiana na namba 3 za mwanzo. Mnaweza kuorodhesha namba zote na mitandao yake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.