namibia

Namibia ( (listen), ), officially the Republic of Namibia, is a country in Southern Africa. Its western border is the Atlantic Ocean; it shares land borders with Zambia and Angola to the north, Botswana to the east and South Africa to the south and east. Although it does not border Zimbabwe, less than 200 metres of the Zambezi River separates the two countries. Namibia gained independence from South Africa on 21 March 1990, following the Namibian War of Independence. Its capital and largest city is Windhoek, and it is a member state of the United Nations (UN), the Southern African Development Community (SADC), the African Union (AU), and the Commonwealth of Nations.
Namibia, the driest country in Sub-Saharan Africa, was inhabited since early times by the San, Damara and Nama people. Around the 14th century, immigrating Bantu peoples arrived as part of the Bantu expansion. Since then, the Bantu groups, the largest being the Ovambo, have dominated the population of the country; since the late 19th century, they have constituted a majority.
In 1878, the Cape of Good Hope, then a British colony, annexed the port of Walvis Bay and the offshore Penguin Islands; these became an integral part of the new Union of South Africa at its creation in 1910. In 1884 the German Empire established rule over most of the territory, forming a colony known as German South West Africa. It developed farming and infrastructure. Between 1904 and 1908 it perpetrated a genocide against the Herero and Nama people. German rule ended in 1915 with a defeat by South African forces. In 1920, after the end of World War I, the League of Nations mandated the administration of the colony to South Africa. It imposed its laws, including racial classifications and rules. From 1948, with the National Party elected to power, South Africa applied apartheid also to what was then known as South West Africa.
In the later 20th century, uprisings and demands for political representation by native African political activists seeking independence resulted in the UN assuming direct responsibility over the territory in 1966, but South Africa maintained de facto rule. In 1973 the UN recognised the South West Africa People's Organisation (SWAPO) as the official representative of the Namibian people; the party is dominated by the Aawambo, who are a large plurality in the territory. Following continued guerrilla warfare, South Africa installed an interim administration in Namibia in 1985. Namibia obtained full independence from South Africa in 1990. However, Walvis Bay and the Penguin Islands remained under South African control until 1994.
Namibia has a population of 2.6 million people and a stable multi-party parliamentary democracy. Agriculture, herding, tourism and the mining industry – including mining for gem diamonds, uranium, gold, silver, and base metals – form the basis of its economy. The large, arid Namib Desert has resulted in Namibia being overall one of the least densely populated countries in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    Namibia: Upinzani wakosoa makubaliano ya Serikali na Ujerumani kuhusu mauaji ya kimbari

    Wanasiasa wa Upinzani Nchini humo wameikosoa kitendo cha Serikali kuingia makubaliano na Ujerumani kuhusu mauaji ya kimbari wakati wa Ukoloni, ambapo Taifa hilo liliomba msamaha na kuahidi Dola za Marekani Bilioni 1.3 Wameishutumu Serikali kwa kuwaweka kando wao pamoja na Jamii zilizoathiriwa...
  2. Geza Ulole

    Wakati Namibia wakipewa fidia ya € 1 bln, Tanzania inafanya nini kudai fidia ya vifo vya halaiki vya vita ya Maji Maji?

    Maji Maji in light of Namibia genocide SATURDAY MAY 29 2021 National Archives of Namibia, Windhoek. Historian Jürgen Zimmerer is one of the most respected experts in German colonial history. Photo by Kettengefangene Dar es Salaam. The memories about Maji Maji rebellion emerged among some...
  3. beth

    Ujerumani yaiomba msamaha Namibia kwa mauaji ya kimbari

    Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo. Watawala wa Ujerumani waliua maelfu ya watu kutoka Jamii za Herero na Nama mwanzoni mwa Karne ya 20...
  4. MK254

    Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

    Hatimaye kwa mara ya kwanza ndani ya wiki mbili kiongozi wa Tanzania amezungumzia kuhusu afya ya Rais na kusema ni mzima tena anachapa kazi wala hana issue. Binafsi namtakia kila la kheri, huwa napenda kutazama hotuba za huyo mzee Magufuli maana akipewa mic na kuanza kusema huwa harembi wala...
  5. Sam Gidori

    Namibia yafunga huduma za Shirika lake la ndege, wafanyakazi 600 kukosa ajira

    Shirika la Ndege la Namibia, Air Namibia limetangaza kusitisha shughuli zote za usafirishaji na kurudisha ndege zote zilizokuwa zikifanya safari, ikiwataka abiria wote waliokuwa wamekata tiketi kuomba kurudishiwa fedha zao. Bunge la Namibia limetoa kibali cha kufunga shirika hilo, huku zaidi ya...
  6. C

    Namibia has been ranked as the country with the best roads in Africa

    Namibia has been ranked as the country with the best roads in Africa for the fifth consecutive year. ===== For the fifth consecutive year Namibia has retained its position at the top of the list of the best roads on the African continent. According to the World Economic Forum’s (WEF) Global...
  7. May Day

    Tanzania yaifunga Namibia 1-0 CHAN

    Katika Mataifa ya kusini mwa Africa huwa nawahofia SA wenyewe, Zambia na Angola. Hawa waliobaki kama Botswana, Namibia, Malawi ni saizi yetu. Msumbiji wana utata kidogo lakini si kivile. ========= TANZANIA imefufua matumaini ya kwenda Robo Fainali ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika...
  8. M

    TFF, Benchi la Ufundi la Taifa Stars huko CHAN 2021 nimeshamaliza Kazi kwa Kikosi hiki Namibia leo na Guinea Wiki ijayo wanakufa!

    ANGALIZO Tafadhali kisibadilishwe na pia Kicheze kama ambavyo nimekipanga kwani Kiunyangindo kimeonyesha Mafanikio na tutashinda mechi zilizobakia. Kikosi cha Kuanza kiwe hiki tu.... 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Yassin Mustafa 4. Ibrahim Ame ( kama bado hajapona aanze Dickson Job )...
  9. Miss Zomboko

    Namibia: Serikali yafuta riba ya ushuru kwa asilimia 95 kutokana na athari za janga la CoronaVirus

    Wizara ya Fedha ya Namibia imepanga kufuta asilimia 95 ya riba zilizopo, na kubatilisha adhabu zote kwa walipa kodi ambao watalipa gharama zote ndani ya miezi 3 kuanzia Februari 2021 Msamaha huo unakusudia kuwasaidia raia wa Namibia na Wafanyabiashara wanaokabiliwa na matatizo ya Kiuchumi...
  10. Analogia Malenga

    Mamia ya wanafunzi wa Namibia wakutwa na Corona

    Namibia imethibitisha visa 11,373 vya coronaImage caption: Namibia imethibitisha visa 11,373 vya corona. Zaidi ya wanafunzi 300 nchini Namibia wameambukizwa virusi vya corona baada ya shule kufunguliwa. Wizara ya Afya imesema wanafunzi walioambukizwa wengi wao wanasoma shule za mabweni. Waziri...
  11. Analogia Malenga

    Namibia kutumia mbwa kugundua virusi vya corona

    Chuo Kukuu cha Namibia kitengo cha sayansi ya mifugo kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa. Mpango wa nchi hiyo ni kuwapelea mbwa hao katika viwanja vya ndege na vituo vya mpakani, kwa mujibu wa mtandao wa The Namibian. Mbwa wamethibitishwa kuwa na uwezo wa kubaini virusi...
  12. beth

    Namibia yakataa fidia ya mauaji ya kimbari iliyotolewa na Ujerumani

    Rais wa Namibia Hage Geingob amekataa kupokea fidia iliyotolewa na Ujerumani kwa ajili ya mauaji ya kimbari wakati wa ukoloni. Jeshi la Ujerumani liliuwa mamia ya maelfu ya watu wa jamii ya Herero na jamii ya Nama kati ya mwaka 1904 na mwaka 1908, wakati wa ghasia za kupinga ukoloni. Inadaiwa...
  13. CHE GUEVARA-II

    Naomba kujuzwa gharama ya nauli ya ndege Tanzania (Dar) - Namibia (Windhoek)

    Wadau, habari zenu? Naomba kujua aina ya ndege (flight) inayoweza kunipatia huduma ya kusafiri toka Tanzania (Dar) kwenda Namibia (Windhoek). Ni aina gani ya flight? Nauli ni kiasi gani (one way, go & return)? Wakala gani anaweza kunisaidia? Contact number ya wakala? Assuming all other...
  14. J

    Rais Magufuli amshangaa Spika Ndugai kuvaa barakoa akiwa peke yake Bungeni

    Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona. Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake...
  15. MK254

    Watanzania mnaambukiza hadi Namibia, msilalamike kwanini mnatengwa EAC na SADC kote kote

    Raia wa Namibia akutwa na kirusi kisa alitembelea Tanzania, hawa majirani zetu japo wanapenda kulia lia lakini wamekua kero kweli, kitovu cha kusambaza corona.
  16. F

    Jinsi Namibia walivyoikabili corona na leo hakuna maambukizi tena

    Walipokuwa na kesi moja tu walifunga viwanja vyote vya ndege za kimataifa ikiwa ni pamoja na meli za abiria. Walifunga miji miwili mikuu kwa mwezi mmoja, hakuna kutoka hakuna kuingia ispokuwa kwa ruhusa maalum. Baada ya mwezi walikuwa na kesi 16 tu lakini waliongeza kufunga (lockdown) kwa mwezi...
  17. S

    Nimeshitushwa sana na kauli ya CCM ikionyesha kuwa South Africa au Namibia wasingekuwa huru hadi leo, tungeanzisha uhusiano wa kibalozi na Makaburu!

    Kuna msemo kwamba mtu anaweza kutenda au kufanya kitu ambacho kitamfanya hadi mtu aliyekufa na kuzikwa kaburini ageuke. Ndivyo nilivyohisi Nyerere akifanya kufuatia kauli ya Kanali Ngemela Lubinga juu ya msimamo wa sasa wa CCM katika suala zima la uchumi wa kidiplomasia. Akihojiwa na mwandishi...
  18. V

    Namibia yapeta kusafirisha nyama Marekani

    Nchi ya Namibia imekuwa Nchi ya kwanza kutoka Africa kwa kuweza kusafirisha nyama kwenda USA . Shehena ya kwanza ya nyama tani 25000 inaondoka mwezi huu. Tanzania tunaweza kufanya biashara ya nyama kama tukiamua kwani tuna maeneo mazuri sana ya kufugia ng'ombe . Botswana pia ni nchi nyingine...
  19. Dominic Myumbilwa

    The Message; Ministry of Natural Resources & Tourism

    By: Eric Allard I’ve been in Tanzania for 30 years now and i'm proud of where this nation is at when compared to what it was when I first arrived. It was a good decision to move here then and I’ve experienced the country’s economic and infrastructure growth over the 30 years. I’ve also run my...
  20. N

    Je, Wajua Barabara iliyopewa jina la Sam Nujoma inamuenzi mpigania uhuru wa nchi ya Namibia?

    Barabara inayotoka Mwenge kuanzia kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo inaitwa bara bara ya Sam Nujoma (Sam Nujoma road). Hili ni jina lililotOlewa kuenzi harakati za mpigania Uhuru na rais wa kwanza wa Namibia, Samweli Nujoma. Miaka ya 1960, sehemu kubwa ya bara la Afrika...
Back
Top Bottom