Wakuu,
Kichwa cha habari kinajieleza,nimekuwa na maumivu kwa muda mrefu ya mbavu upande wa kushoto,juzi nilikwenda hospitali kupima,walinipiga ultrasound na dokta aligundua kuwa kwenye figo yangu ya kushoto kuna kiuvimbe kidogo 2.5cm×2.9cm kinachoitwa kidney cyst.
Nilipewa dawa ya kutumia kwa...