Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.
Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu...
Namna ya Kumueleza mtoto:
Ni muhimu mzazi au mlezi kwa kushirikiana na mtoa huduma kuandaa mpango wa namna ya kumueleza mtoto hali yake ya maambukizi ya VVU, kabla ya mtoto huyo kupata habari hiyo kutoka vyanzo vingine.
Kusikia habari kuhusu hali yake ya maambukizi toka kwa mtu mwingine...
Pumu au ‘asthma’ ni moja kati ya magonjwa hatari sana yanayoathiri mfumo wa upumuaji ambao huathiri takriban watu million 130 duniani kote. Ingawa hakuna sababu ya moja kwa moja ya kupelekea kupata ugonjwa huu, utafiti umethibitisha ya kuwa ugonjwa huu hutokea kutokana na sababu kuu mbili, yaani...
Modes naomba miufute huu uzi wala kuunganisha kama itawapendeza
Imani zetu zinamtaja MUNGU kama wa pekee, asiyebadilika wala kufafanishwa. Mungu alivyotuumba alitupa utashi ambao ndio kitu pengine cha kipekee kinachotutofautisha na wanyama na viumbe wengine.
Ukisoma Biblia Takatifu, 2 Wafalme...
Wakuu habari zenu,
Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo.
Naomba kujua namna ya kufika comoro kwa njia ya maji. Na je kuna vyombo vya moja kwa moja toka Dar au Zanzibar mpaka huko?
Kuna fursa gani za kiuchumi huko? Kuna watu wameniambia ukipeleka zile culture wanazovaa vijana kule soko ni...
Mwaka 2010 nlipata msichana ambaye alikuwa akisoma udsm. Huyu dada wazazi wake walikuwa mkoani. Mwaka 2011 akamaliza. Hapa Dar hakuwa karibu sana na ndugu zake.alipomaliza chuo mwaka huo akawa anataka aishi Dar.
Nikampangia chumba mimi nlikuwa kikazi Arusha. Ilikuwa haipiti miezi mitatu nakuja...
Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote.
Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda.
Chanzo...
FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME
Habari wadau,
Happy end of the month (January woyoooo),na happy new year kwa familia yooooote ya Home of Great Thinkers (HGT).
Baada ya salaam twende kwenye maada yetu,
FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME
Kama tunavyojua kuwa nishati ya...
Clientelism – another reason to worry about US democracy
The last several months have given us many reasons to worry about US democracy – not least the riot at the US Capitol and the president’s refusal to accept the results of the November election, with Republican support. Rachel Gisselquist...
Kila nikikumbuka tukio hili moyo wangu huwa unabubujikwa na machozi mithili ya damu ya kuku anayejinjwa, sijui hata ni kwanini ila asikuambie mtu, umasikini mbaya sana!
Nakumbuka miaka ya 1990s, baba yangu alipata bahati ya scholarship Marekani, chuo kimoja kinaitwa Yale. Hivyo ilimlazimu...
Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati.
Ombeni msaada...
Ni hali halisi kuwa kupanga ni kuchagua. anayeoa na asiyeoa ni suala la mizani hiyo lakini ni ukweli usiopingika kuwa faida kubwa ya mwenza ni kwamba haujawai kuwepo mbadala wa mke/mme katika huduma za sirini hasa ukiumwa. ndugu na marafik huyeyuka mda wowote. upweke nao huleta kifo cha mapema...
Tanzania imekuwa kama wimbo. Ikifika Januari kila mtu analia hali ngumu ya uchumi. Miaka na miaka tunalia hii hali bila kuwa na suluhisho la maana.
Nashauri benki zingeangalia uwezekano wa kupunguza hii hali hata kwa kutoa mikopo midogo. Mtu hata kama anamkopo benki basi Januari aweze kutop...
Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
Nimesikiliza hotuba ya mh. JPM baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa madini Prof. S. E.Manya.
Moja ya sababu zilizosababisha kuleta huu uzi ili wana CCM wenzangu ambao wanaweza kutafakari uzi huu na ikibidi kumshauri mh. Rais.
KIMEJIRI KITU GANI KWA MAONO YANGU?
Mh. Rais alizungumzia mambo ya...
Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa
Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed
Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane...
Wadau nimekuwa nikitumia njia kadha kupunguza kitambi ikiwepo kufanya mazoezi kwa bidii,kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi na kufanya diet.Lakini naona juhudi zangu zinagonga mwamba naelekea mwaka bila mafanikio.Mwenye njia ya ziada anisaidie...
Kuna msg imeingia kwenye simu ya mke wangu ikitoka kwa wifi yake (mke wa mdogo wake) . Clearly ni ya mapenzi akisema wataonana na bla bla zingine; na leo kweli ameamka anasafiri kwenda mjini? Msg ilikuja kwa bahati mbaya maana alikuwa anaongea na mke wangu muda huo huo, hivyo alituma kwa namba...
Soko la Wafadhili (The market of potential donors) kwa Taasisi zinazofanya vizuri katika maeneo yao ya kiutendaji ni kubwa. Ili kuwa na ufanisi katika kuliendea soko hili; Taasisi inapaswa kuligawa (market segmenting). Namna rahisi kwa Taasisi kugawa soko la Wafadhili ni kama ifuatavyo;
Soko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.