namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ukawa2020

    Uchaguzi 2020 Namna ya kumpigia kura Mgombea Urais Tundu Lissu

    Wafundishe wapiga kura namna ya kumpigia Kura mbeba maono Tundu Lissu. Sambaza video hii.
  2. The Palm Tree

    Uchaguzi 2020 Namna ya kudhibiti uwepo wa vituo hewa/bubu vya kupigia kura katika uchaguzi mkuu - 2020

    Ndugu zangu wana JF; CCM wamejiapiza kuwa John Pombe Magufuli ni lazima ashinde tu uchaguzi huu wa mwaka huu either by hooks or by crooks.. Wagombea wa CCM katika ngazi zote ikiwemo ya Urais, kwa utaratibu wa kawaida kama wakiachwa hivi hivi bila kusaidiwa kushinda kwa njia haramu za wizi wa...
  3. The Palm Tree

    Uchaguzi 2020 Namna ya kui - outsmart CCM kwenye ishu ya mawakala katika vituo vya kupigia kura

    UTANGULIZI: ¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo: FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM) kuchaguliwa tena kuendelea.. FACT No. 2; Kwa Tanganyika katika nafasi ya Urais, CCM wameelekeza silaha na...
  4. mugah di matheo

    Tundu Lissu v/s Bernad Morrison, hapa hakuna namna ya vibaraka kuhamisha attentions za watu?

    Kutokana na ukubwa wa simba na yanga pale unapoanza mgogoro baina yao huwa unachukua hisia za watu wengi sana. Je, katika kipindi hiki ambapo Wakili msomi Tundu lissu anafanya vizuri kwenye kampeni sio kwamba watawala wameamua kuanzisha mgogoro ambao utahamisha hisia za wananchi kwenye kampeni...
  5. geniusMe

    Namna ya kupima chumvi kabla ya kuilamba

    kumekuwa na ongezeko la uhitaji wa chumvi kwenye chakula katika muda wa kula na kujimegea mapochopocho, lakini kumekuwa na swali kubwa sana kwa walaji, je utajuaje kama msosi umekolea chumvi ya kutosha au umezidi sana chumvi mpaka kuharibu ladha na harufu ya msosi wenyewe? The last thing ambacho...
  6. O

    Namna ya kufanya biashara toka Nairobi

    Wakuu naomba msaada kama kuna namna ya usafirishaji wa bidhaa kutoka Nairobi mpaka Mwanza. Hii ni kutokana na zuio la mipaka tangu kipindi cha Corona. Sasa hatuwezi ingia ila naona bado biashara mbalimbali zinaendelea nami pia nahitaji bidhaa kutoka Nairobi ila sijui wengine wanafanyaje.
  7. anjnr

    Naomba Msaada namna ya kudownload vitu kwenye torrent sites

    Habari wakuu.. Naomba msaada wa hatua kwa hatua namna ya kudownload vitu mbalimbali kwenye torrent. nahitaji kuwa na vitu gani /au app gani kwenye pc na nini cha kufanya ili niweze kupakua vitu vya torrents. Natanguliza shukurani
  8. R

    Msaada wa haraka sana kuhusu namna ya kuomba kazi zilizotangazwa kwenye system

    Wana Jamii forums elimu heshima Naomba msaada, ninapoingia kwenye hii system ya kuomba hizi ajira, nimekutana na changamoto zifuatazo na nimeshindwa kufanya chochote, email already exist Mara account already exist nimeshindwa kufanya chochote nisaidie jamani mwaka Jana niliomba lakini...
  9. J

    Uchaguzi 2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

    Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio. Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria...
  10. Equation x

    Tujifunze namna ya kujiajiri pamoja na kumiliki kampuni au biashara

    Closed
  11. J

    Jifunze na uzijue nyayo za kidigitali, tambua namna ya kuzidhibiti uwapo mtandaoni

    Nyayo za Kidigitali au Digital Footprint hizi ni taarifa za kipekee zinazokusanywa kutoka kwa mtumiaji wa Mtandao anapofanya shughuli mbalimbali kwenye mtandao, anapofanya mawasiliano, miamala katika vifaa au majukwaa ya mtandaoni Taarifa hizi zinaweza kutumika kufuatilia vitu anavyofanya na...
  12. chiembe

    Aliyetoa wazo la kusajili YouTube Channels pia aangalie namna ya kusajili akaunti za facebook,kuna video zinarushwa tena laivu,wapinzani wamejaa huko

    Naona teknolojia inataka kuipiga kumbo sheria yetu iliyokuwa inadhibiti traditional media-magazeti-tv-redio. Hizi ilikuwa rahisi, unapiga pini tu wote kimya. Lakini sasa teknolojia inataka kuleta mchezo wa paka na panya,tunakaba huku, teknolojia inaleta hiki,unakaba hiki, inaleta hiki, ila...
  13. kavulata

    Somo la namna ya kufikiria lifundishwe shuleni na vyuoni

    Mitaala ya shule za wazungu tangu shule za awali hadi vyuoni Kuna somo linalowafundisha wanafunzi namna ya kufikiria ( critical thinking and problems solving). Mfano, wazungu wanakwambia there is no free lunch (hakuna chakula Cha bure), lakini watanzania na waafrika wanashindwa kuuelewa huo...
  14. Tulimumu

    Je, unafahamu namna ya kugundua kama gari imeshushwa kilometer katika dash board?

    Kuna michezo mingi watu huifanya hasa wanapotaka kuuza gari ,hapa wengi hufanya mchezo wa kushusha km ilinwaweze kuliuza garinkwa haraka, na kwa pesa ndefu. Wengi hufanikiwa kasheshe inakuja kwa aliyelinunua unakuta linamzingua vibaya kutokana na kuchengana kwa data za service. Technolojia ina...
  15. Ndengaso

    Msaada Muongozo wa namna ya kununua ardhi ambayo tayari ipo kwenye process ya kupimwa

    Wataalamu naomba msaada wenu, kuna Ardhi nataka kununua, muuzaji tayari alishalipia kwaajili ya upimaji na usajili lakini wapimaji bado hawajafika kwa ajili ya upimaji, je ni namna gani bora ya kuweza kununua kiwanja hiki ili kuepuka migogoro ya umiliki ambayo inaweza kuja kujitokeza baadae?
  16. N

    Namna ya ku-download (kupakua) Audio kutoka AudioMack

    Naomba msaada namna ya kupakua/Kudownload audio kutoka Audiomack to MP3 file tofauti na IDM.
  17. MK254

    Namna ya kutatua hili la ndege za Watanzania ni kumpima kila mmoja wao kama ilivyo mpakani

    Kenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka, wakalipuka lipuka kwa kauli za kiajabu, ila baadaye walikubali yaishe maana hadi leo hakuna anayepita huo mpaka bila kupimwa, labda wanaotoa hongo kwa polisi wetu mafisadi...
  18. gunnar andersen

    Ni kozi ipi ya afya niombe zaidi?

    Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni.
  19. Masweeter

    Tangu zamani nilishaapa kuwa nikiolewa siwezi kuishi na Mama mkwe wangu

    NAOMBA UNISAIDIE NAMNA YA KUMFUKUZA MAMA YANGU MZAZI KWANGU NIMECHOKA! Tangu zamani nilishaapa kuwa nikiolewa siwezi kuishi na Mama mkwe wangu wkani nilikua nafahamu jinsi Mama wakwe walivyo na roho mbaya. Kweli sikuishi naye, Mama mkwe wangu hata hakuwahi kuja mjini kusalimia, ndoa yangu...
  20. Sky Eclat

    Namna ya kupata vibarua na ajira za muda mfupi

    Tunaishi kwenye dunia ya utandawazi. Mara nyingi nyumbani hatuna kazi nyingi kila siku. Tulilazimika kuajiri wasaidizi na kuishi nao kwasababu za kiulinzi na usalama. Sikuhizi apartments nyingi zina uhakika wa ulinzi na usalama na hivi vyote vinakuwa sehemu ya kodi. Zile kazi za kufua kama...
Back
Top Bottom