Moja ya mambo yanayovunja ndoa za siku hizi ni ongezeko la wanandoa kutokuwa waaminifu. Usaliti unaumiza, Usaliti unaua, Usaliti ni moja ya majanga yasiyosemwa ndani ya jamii yetu yaliyomo kwenye ndoa.
Ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke, walioamua Kwa hiyari yao wakiwa na akili timamu...
Ni ukweli usopingika Tanzania kwa sasa tuna wimbi kubwa la vijana wasio na ajira kutokana na mfumo wa elimu kutokuwa rafiki sana kwa vijana kujiajiri, hivyo kupelekea vijana wengi kukata tamaa na kupoteza kabisa malengo yao walojipangia katika maisha.
Laikini ukweli ni kwamba kuna njia nyingi...
Maana ya neno kikudi,
Kikundi ni mkusanyiko wa watu kadhaa wenye rika tofauti au linalofanana, jinsia moja au tofauti ambao walioamua kufanya shughuli za kujiingizia kipato kwa mujibu wa sheria, pamoja na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo yao .Leo nitaomba tujadili kuhusu vikundi...
Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo.
Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji.
Hesabu za kupata gawio...
Wasalaam,
Watu wengi maeneo ya mijini vipato vyao ni wastani wa Tsh. 10,000 kwa siku, hii inafanya wengi wafikishe angalau Tsh. 330,000 kwa mwezi.
Kwa kipato hiki wapo wanaishi vizuri kabisa kwa familia za watu wachache na wanaishi bila kuwa na madeni. Mchanganuo rahisi ni kama huu hapa chini...
Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na ibada inaendelea nataka watu wengine waone ibada hiyo LIVE kupitia youtube je ni vifaa gani...
JF ndio kisima cha maarifa.
Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2.
Tatizo unga umetoka na harufu mbaya sana, naiondoaje jamani? Wakati huu wa dunia ya kula kwa sababu na malengo soya ni kitu...
Hapo vip!!
Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo..
Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana...
Nina imani humu...
Habari za usiku wapendwa katika bwana.
Leo nimepatwa na ajali iliyosababishwa na dereva wa JW aliyekuwa akiendesha gari aina ya hiace ndogo ivi yenye namba 1834 maeneo ya Ofisi za jiji Mwanza.
Nikiwa natokea maeneo ya maji haouse nikiendesha ki TVS changu, nilipofika yalipomataa pale maeneo ya...
Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016.
Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
Habari wadau,poleni na msiba.
Nauliza wazoefu wa kubadili shirt la rangi nyeupe kuwa la rangi ya blue,mnatumia ile blue powder ya kipindi kile? Na je nguo itaendelea kung'ara kama awali ikiwa sasa imekuwa ya blue na hizo blue powder bado zinapatikana madukani?
Habarini wadau,
Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo Document.Naomba kujuzwa namna bora ya manunuzi ili nisijepigwa ndugu zanguni.
Nawasilisha.
Kuna mshkaji mtaani tulikua tunajadili changamoto iliyopo kwenye zogo la mahindi baina ya Kenya na Tanzania, akanipa uwezekano wa wazo fulani, naifahamu sana Serikali yangu ya Kenya ikitaka kuficha kitu kwanza huwa na mazoea ya kuibua jambo lingine litakalosababisha migongano ya baina yetu...
Mitandao ya kijamii imejitokeza na kuendelea kuwa vyombo vya kusambaza habari na taarifa mbalimbali na kwa mifumo mbalimbali. Ili kupata habari na taarifa zilizo sahihi, watumiaji wa mitandao ya jamii wanapaswa kujilinda dhidi ya habari na taarifa za uongo na uzushi. Watumiaji wanaotegemea...
Wewe una miaka 40+ bado huna Nyumba, Huna Gari. Hata ukija pata umebakiza miaka 20 au 10 ya kuenjoy. Miaka 40, 50 hukuwa na gari unapata pesa badala uwekeze kwa wanao ndio unaenda nunua gari. Ili iweje sasa? Anyway kama una usafiri endelea kutumia. Huo na Sehemu ya kujihifadhi. Nyumba tunajenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.