namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. 100 others

    Video: Waziri wa Michezo akionyesha Vijana Namna ya kusakata kabumbu

    Ndio inapaswa iwe hivi, waziri wa kilimo ajue kupiga jembe haswa tena la mkono. Waziri wa TEHAMA ajue masuala ya IT na wizara zingine zote wawe wanafanyiwa majaribio na kupewa mitihani kabla hawajaingia kwenye wizara husika. Minister Of Sports Uganda.
  2. Mr Mlokozi

    Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  3. Mr Mlokozi

    Ni kwa namna gani wazazi wanaweza kudhibiti matumizi ya simu kwa watoto wao ambao ni wanafunzi

    Wazazi wengi wamekuwa wakiwapatia simu watoto wao kwa lengo zuri tu la kufanya mawasiliano na familia na marafiki zao pamoja na wanafunzi wenzao pia, wakati mwingine kwa ajili ya kujifurahisha kwa kucheza michezo mbalimbali iliyomo kwenye simu pamoja na kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii...
  4. Technophilic Pool

    Nimewaza ni namna gani Mindset yangu imenisababishia umasikini sioni kabisa! Majibu ya umasikini yanaangukia poor Government

    Wakuu mi nakataa kusema umasikini nilio nao umesababishwa na mindset yangu. Naona Tu ni poor government imesababisha Mfano: Nimesoma hadi chuo ajira serikalini hamna, zikitoka chache za kujuana (poor government) Nimefungua biashara, biashara ngumu bado TRA wananikadiria kadirio la juu Tax...
  5. T

    Naomba ushauri juu ya namna nzuri ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu

    Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza maisha - mfano, mke na mme au mke mme na mtoto mmoja. Je, naweza kujenga nyumba ya kupangisha kulenga...
  6. sonofobia

    Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

    Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
  7. P

    SoC04 Makala juu ya namna Tanzania inavyoweza kutatua changamoto mama katika sekta ya uvuvi nchini

    Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa wazawa ikiongozwa na sekta ya kilimo. Na Tanzania kama nchi Chini ya mifumo yake tendaji, imekua...
  8. Ngufumu

    Namna ya kuzuia Kichechefu wakati wa Ujauzito

    Je unaelewa nini kuhusu Kichechefu wakati wa ujauzito/ Morning sickness? Kichefuchu ni dalili ya kawaida ya ujauzito, hasa wakati wa kipindi cha kwanza cha mimba(miezi 3 ya mwanzo). Hali hii inaweza kukufanya uhisi kuchefuka au kuwa na kizunguzungu na kukuacha bila hamu ya kula. Ingawa ni...
  9. A

    SoC04 Namna ya kuhifadhi mazao mepesi kuharibika (perishable crops) baada ya kuvuna

    Utangulizi; mazao mepesi kuharibika ni nguzo imara ya kipato kwa wafanya biashara wadogo wadogo kama vile mbogamboga na matunda, lakini changamoto kubwa ni kuharibika kwa uharaka hasa yawapo sokoni jambo ambalo hupelekea hasara kwa wafanya biashara hawa. Utatuzi; ili tuweze kuishi Tanzanian...
  10. PAZIA 3

    Elimu ya talaka, namna ya kudai talaka, vigezo na masharti ya kuandika talaka

    Habari za Leo wanajforum? Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na mada ya kutalikiana kwa wanandoa, huenda ni elimu ya watu wazima tu. Lakini hatuna budi kujifunza...
  11. G5bajuta

    SoC04 Serikali iangalie namna nzuri na madhubuti ya kubaresha mtandao unaosuasua hususan na kuchunguza eneo ambalo lina shida katika utoaji wa huduma

    Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao. Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani...
  12. O

    SoC04 Namna ya kuboresha elimu Tanzania

    Kumekuwa na mikakati kabambe ya kuboresha elimu nchini Tanzania. Ata hivyo njia hizo bado zinazalisha wahitimu tegemezi kwa serekali katika masuala ya ajira. Hii imepelekea wahitimu wengi kukosa ajira na kuiona elimu kama haina maana. Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili kuboresha elimu kwa...
  13. MwananchiOG

    Eng Hersi: Kuna namna timu fulani ilijipa utawala wa nchi, Nitawanyoosha

    Akiwa kwenye mahojiano yanayorushwa kupitia EATV katika kipindi cha Salama na Rais wa Yanga Engineer Hersi, Amesema kuna club ilikuwa imejipa utawala na kujiona wao ni vichwa. Sasa alikuwa kwenye mpango na bado yupo katika mipango ya kuwaonyesha kwamba Yanga ndiyo club kubwa zaidi...
  14. ferucho lamborgini

    Maisha ya Dar es Salaam yamejaa anasa na starehe za kila namna

    Kipindi nasoma advance nilikuwa mla bata sana, o-level nilisoma seminary, kwahiyo ile kuja dar ni kama fisi kaachiwa bucha. Nilikuwa natoroka shule naingia sinza-africa sana kuna club ilikuwa inaitwa Ambiance hapo kulikuwa na malaya wenye mizigo hatari unaweza ukatokwa udenda, ukirudi kwa nyuma...
  15. J

    SoC04 Namna ya kudhibiti matumizi holela ya dawa za binadamu mtaani

    Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
  16. academiazSoft 0654238234

    ACADEMIAZSOFT: mfumo bora wa Uendeshaji wa Shule katika namna bora na ya kisasa

    Hujambo ndugu mwana JF. Karibu AcademiazSoft. RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi. Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa fursa ya kufanya masuala yote yahusuyo uendeshaji wa shule yako katika platform moja iliyoboreshwa...
  17. M

    Nimekuja kujua kuna namna elimu ni chanzo cha umasikini

    Wadau mambo ni gani aseee? Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA. Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi... Kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, usifikirie kwamba nimekuja kujigamba au kujionesha hapana nasema ukweli ili...
  18. complexi

    Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  19. Smt016

    Nafasi ya pili inatafutwa kwa kila namna hata kwa magoli ya offside

    Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo. Leo Simba imepata point 3 kwa goli la offside, wakati Freddy Michael funga funga anapokea mpira alikuwa katika eneo la...
  20. A

    KERO Namna Vipeperushi vya Matangazo vinavyochafua mazingira

    Habari mimi ni Mdau wa Jamii Forums kutoka Arusha. Naomba utusaidie kupaza sauti dhidi ya watu wanaochafua mazingira na mabango haya kwan wao baada ya kumaliza mikutano yao huwa hawana utaratibu wa kurudi kusafisha maeneo wanayoyachafua. Wabandikaji wa mabango haya wamekuwa wakiyabandika bila...
Back
Top Bottom