Binadamu yeyote anahitaji kuwa na furaha, pamoja na kuzungukwa na watu mbali mbali ambao watamfanya achangamke na kuondoa au kupunguza tatizo la msongo wa mawazo.
Hii imekuwa ikitokea kwa baadhi ya familia, baada ya kukuza watoto wao na kwenda kujitegemea, na hatimaye kuwaacha wazazi wao wakiwa...