Jana nimemwambia My girlfriend. Kuwa sitokuwa tayari kuendelea kuwa naye. Hivyo nam release. Ili mimi nikatafute changamoto nyingine.
Amelalamika na kulia sana. But nimemwambia sina namna. Nimemuuliza kama yupo tayari tuendelee kuwa pamoja ila asitegemee niwe nampa pesa. Amenyamaza hajajibu...
Habari humu ndani, heri ya Mwaka mpya! Tuanze mwaka kwa kuwakumbusha wenzetu viongozi hasa hao wa kuchaguliwa na wananchi waambue dhamana waliyopewa ni kubwa na waitumie vizuri kuwaletea wananchi maendeleo.
Utangulizi:
Kama Mheshimiwa Diwani, kuna fursa kubwa ya kutumia nafasi hii kwa...
Nchi nyingi huwa na ofisi za huduma za kisheria zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za mawakili binafsi. Huduma hizi zinaweza kujumuisha ushauri wa kisheria, usuluhishi wa migogoro, na hata uwakilishi kisheria kwa mahakamani.
Kuna mashirika mengi ya...
Eebwa heri za sikukuu wazee.
Hawa watu huwa wanakera sanaa. Unakuta jitu ni linywaji lenzio ila likikukuta tu umetoa teni unachukua safari zako tatu linataka chenji iliyobaki umuagizie na yeye. Unaweza ukamkuta yeye bar na kashalewa ila akikuona tu unaagiza konyagi ile ya kati uipige tayari...
Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA.
Shukran..
Hello habari wana jf
Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana
Yani hii tabiia inani boa sana
Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu.
Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kuna watu wanakera,wanaudhi na kutia kichefuchefu mno kwenye jamii ya watu waliostaarabika.
Moja ya watu wanaokera ni wafuatao:-
1.WAPIGA MIZINGA
Hawa wao huwa wanadhani kila pesa unawatafutia wao,badilikeni
2.WAAZIMA NGUO & VIATU
Hivi dunia la leo...
Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie
Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa,
Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia...
Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.
Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.
Nimewaza tu
Akili yahitaji kuongozwa katika kufikiri baada ya kuboreshwa,
Itatumika wapi? na kwa maslahi ya nani? na kwakujenga lipi? akili ile itatumika.! na vipi mwanaadamu atajizoezesha kukabiliana katika miamala yake kwa vipimo vya akili..!
Qur'an imelaumu sehemu kadhaa wa kadha kuhusu fikra ya watu...
21 yrs Old: Siwezi olewa na mwanaume ambaye hana gari
25 yrs Old: Kikubwa tu awe na kazi ya maana. Mengine tutayaweka sawa tu
29 yrs Old: Awe na shughuli yoyote tu ya kumuingizia kipato
33 yrs Old: Kikubwa awe anasali
35 yrs Old: Nikijaariwa yoyote yule niko tayari, kikubwa ukuni tu
40 yrs...
Hii ni kwa waislamu,
Mlioruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja.
Yaani unayaanza maisha ukiwa hauna lolote vile unapambana na msichana wa watu (mkeo), vile anakupa njia wapi pa kuanzia wapi pa kumalizia, vile unaanguka anakusaidia kusimama tena. Mdada wa watu (mke mkubwa) mara achome vitumbua mara...
Habari wananzengo"
KWa wale wataalam wa jukwaa la teknolojia, naomba mnieleweshe namna gan naweza nikatambua kwamba hii saa janja ni band fulan?
Maana utakuta mtu anasema hii band 4, hii band 5
Sasa anawezaje kutambua hizo band?
Nawasilisha
Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo:
1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba?
2) Inawezekana kipimo cha ultrasound...
Kwa heshima na taadhima niiombe serikali kupitia TANROADS NA TARURA kuangalia namna ya kujenga barabara kutoka mafinga,kinyanambo c mpaka mlimba hata kwa kurekebisha au kujenga hata kwa changarawe hasa sehemu zile korofi ili kuwasaidia wananchi kuepuka na adha ya usafiri hasa kipindi cha masika...
Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana.
Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.