namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Wasimamizi wa namna hii sijawahi kuwaelewa wanachokifanya

    Kuna tabia huwa siielewi kutoka kwa watu tunaoamini ni wataalam! Afisa wa polisi anaposimamisha basi na kuhoji abiria mbele ya dereva kwamba "Wanaonaje mwenendo wa dereva" Sijui huwa unatarajia jibu gani jingine zaidi sifa njema kwa dereva! Hata kama lengo ni zuri lakini ukikosea namna ya...
  2. mtwa mkulu

    Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

    Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho. Wameweka walio chaguliwa awamu ya...
  3. I

    Simba hana namna lazima ashinde kesho au sare ya 3-3 ndio asonge mbele

    Simba kesho inabidi ashinde au vinginevyo atoe sare ya mabao 3-3 ndio aweze kufuzu kucheza nusu fainali. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya goli la ugenini kuhesabiwa mawili pale magoli yanapokuwa sawa baada ya mechi mbili kumalizika. --- Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football...
  4. Stephano Mgendanyi

    Naibu waziri kigahe: tbs, tmda & sido elimisheni wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora. Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
  5. JITU BANDIA

    Hakuna namna naweza kuwashtaki Vodacom Tanzania kwa kuchelewesha muamala!?

    Wakuu, hivi kisheria hii imekaaje!? Kuna uwezekano wa kuwafungulia shauri mahakanani hawa watoa Huduma kama Vodacom Tanzania kwa tatizo la kuchelewesha muamala wangu wa MUHIMU!? Haya makampuni yamekuwa yakifanya kazi kwa mazoea sana... na kufanya wanachojisikia... Hivi hakuna sheria ya wajibu...
  6. Boss la DP World

    Ukipata ofa ya namna hii nenda katoe sadaka kanisani. Ni marufuku kuitumia

    Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka. Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana. Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea...
  7. FaizaFoxy

    Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

    Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa? Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...
  8. hooligan01

    Urgent: Ninahitaji id soft copy ya Nida, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata

    Habari ndugu zangu, Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho. Natanguliza shukrani
  9. Execute

    Muongozo wa namna ya kwenda Israeli kuungana nao kuwapiga Hamas na wapalestina

    Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa. Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank. Kuna utaratibu uliowekwa?
  10. Influenza

    Baada ya Senegal kuizuia TikTok, Mtandao huo waenda kujitetea kwa kueleza sera zake na namna ya inavyozuia maudhui yasiyofaa

    TikTok kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeendesha Mkutano wa kuelezea sera zake ikiwa ni miezi michache tangu Mtandao huo wa Kijamii uzuiwe nchini humo Mkutano huo uliudhuriwa na Wawakilishi kutoka vitengo mbalimbali kama Vyombo vya Kutekeleza Sheria, Kitengo cha Usalama...
  11. Sildenafil Citrate

    Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  12. Pang Fung Mi

    Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

    Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu. Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula...
  13. FRANCIS DA DON

    Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

    Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe... https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==...
  14. Boss la DP World

    Tanzania imekuwa nchi ya matukio; hongera CCM kwa kufaulu kujenga Taifa la namna hii

    Wiki chache zilizopita tulishuhudia mjadala mkali kuhusu bandari, baadaye kukaibuka tetesi za rupia kupenyezwa kwa baadhi ya wakazi wa Ufipa ili wajiondoe katika mjadala huu. Dkt. Slaa, Dkt. Nshallah, Mwabukusi, Tundu Lissu, TEC na wananchi wengine wakaendelea kutoa elimu kuhusiana na kile...
  15. J

    Mjadala: 'Namna ya Kutambua na Kuepuka Utapeli Mitandaoni' - Septemba 21, 2023

    Mtandaoni ni mahali ambapo kunaweza kuwa na fursa nyingi; matumizi mazuri ya kimtandao yanaweza kutambua fursa chanya za kufungua faida nyingi zinazopatikana kwenye mazingira haya ya kisasa ya kimtandao. Lakini Mtandaoni kuna masuala ya Utapeli pia. Je, Umewahi kukutana na matukio ya Utapeli...
  16. Mkunazi Njiwa

    Rais Samia: Nakataa Ombi la Mbunge Wa Kilwa Kusini, Ally Kisinge kuwaridhisha wapiga kura hata pasina na uhalisia

    Mh.Rais Samia ameendelea kuwafundisha watanzania haki zao za kiraia....UKWELI UKWELI UKWELI. Amelikataa ombi la mh.mbunge wa Kilwa Kusini ndg. Ally Kisinge la kulifuta eneo lililo zaidi ya kilomita moja kutoka pwani linalomilikiwa kisheria na kampuni ya kiwekezaji ya KILWA YARK CLUB. Mbunge...
  17. Z

    TANESCO hawana namna ya kufanya umeme usikatike maeneo ya Hospitali?

    Siku Moja nilienda kutoa huduma hospitali nikaingia leba wodi. Mule nilimkuta mtoto yuko kwenye oxygen. Ghafla umeme ulikatika na bahati mbaya Ile standing generator ikagoma kuwaka kwa dakika kumi, niliumia sana moyoni. Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike...
  18. J

    Je, unajua namna Sekta Binafsi zinavyoshiriki katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi?

    JamiiForums wakishirikiana na Taasisi ya Wajibu wataangazia dhana nzima ya Mabadiliko ya Tabianchi, Athari zake pamoja na jitihada Mbalimbali zinazofanywa na Sekta Binafsi katika kukabiliana na Changamoto hii. Karibu ujiunge na ushiriki nasi kwenye Mjadala huu utakaofanyika siku ya Alhamisi ya...
  19. Victor Mlaki

    Utashangaa: Mahali pa watenda maovu ya kila namna duniani

    Mpango wa Mungu ni kila mwanadamu aifikilie toba na kuuacha uovu. Swali la kujiuliza ni sehemu gani waovu wanapaswa kukaa Ili kuweza kuifikia toba? Hakuna mahali pengine sahihi kwa waovu kama kwenye mahekalu kwa sababu maeneo mengine karibu yote hayabebi kusudi la kumfanya mtu aache uovu. Hivyo...
  20. R

    Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

    Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
Back
Top Bottom