namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Kichwamoto

    Matumizi ya neno "UCHOCHEZI" ni namna dhaifu sana ya kuikataa demokrasia na uhuru wa kukosoa

    Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika. Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
  2. Fortilo

    Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani. Swali. Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani? Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani. Hii kibri anapata wapi? "Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali...
  3. Mto Songwe

    Wakomunisti ni watu pekee wanaojua namna bora ya kutwaa madaraka kutoka kwa watawala

    Licha ya kwamba si kubaliani na mambo kadha wa kadha yanayo tekelezwa na wakomunisti lakini kuna baadhi ya mambo wanajitahidi mfano kuweka dini na siasa mbali hilo moja. Leo tuizungumzie namna ambavyo mbinu za wakomunisti kwangu ndizo mbinu bora kutwaa madaraka kutoka kwa watawala wapuuzi. Kwa...
  4. Pang Fung Mi

    Nawaza ni kama kuna namna katika taifa la Tanzania kitaifa Mungu amesahaulika

    Mara zote Rais wa Taifa hili akizungumza sioni akimtanguliza Mungu na kumtaja ama kumtukuza na kumsifu Mungu wetu wa dini zote aliyepo hai jana, leo na hata milele, sioni faida ya kutamka nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano. Sina hakika na kutamalaki na wito wa mbegu njema ya Mungu chini...
  5. T

    Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa. Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa...
  6. TUKANA UONE

    Nawaza sana Uzee wangu utakuwa wa namna gani

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,sasa hivi utaula wa chuya! Nawaza sana endapo Mungu akinipa Umri mkubwa wa Kuishi,sijui uzee wangu utakuwa wa namna gani!😩 Je, nitadharaulika kama baadhi ya wazee leo wanavyodhaurika? Je, nitakosa thamani kama wazee wengine wanavyokosa thamani miongoni...
  7. G

    Ni kama kuvunja miiko ila hakuna namna, Wazazi tutumie mbinu zipi kuwaelimisha watoto kuhusu mapenzi kuwalinda na kizazi hiki

    Kwakweli kwa tamaduni zetu hili suala limekuwa likifumbiwa macho na la kukwepa, ila angalau zamani tunapobalehe wavulana tulienda jandoni na dada zetu walienda kufundwa unyango, kwa sasa wavulana na wasichana wanakuzwa peku peku bila hizi elimu muhimu, ni jambo hatari sana. Binafsi nakumbuka...
  8. Ndimbo M

    Muhimu sana: Tusome na kujadili kuhusu bandari na DP World kwa namna nyingine

    Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
  9. Zekoddo

    Namna ya kuongeza muda wa Maongezi (Vocha) mitandao mingine kutoka Tigopesa

    Wakuu naomba namna ya kuongeza vocha(muda wa Maongezi other networks via Tigopesa. Maana najaribu sana naona nafeli
  10. OCC Doctors

    Tumekuwekea hapa namna magonjwa mbalimbali yanavyo ibuka kitaalamu kutokana na Obesity

    Mafuta ya ziada kwenye tumbo (Obesity) husababisha mshipa unaoleta damu ndani ya ini (Portal vein) kujaa mafuta ya asidi yasiyo na kazi (free fatty acids), na kuongeza mkusanyiko wa mafuta kwenye ini. Mafuta pia hujilimbikiza kwenye seli za misuli. Ambapo sasa kunaanzishwa ukinzani dhidi ya...
  11. TheForgotten Genious

    RITA wekeni mbadala wa namna watu watapata vyeti vya vifo

    Utaratibu wa sasa wa RITA wakutoa vyeti vya vifo ni kuumizana vichwa na kuwakwamisha watu, mtu anaomba cheti cha kifo cha mzazi wake, na alifari miaka 30 iliyopita mnataka aambatanise mukhtasari wa kikao cha familia sijui kibali cha maziko nk. Hivi mtu anapata wapi muktasari wa kikao na...
  12. malisak

    Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    Kama unapenda kufahamu kuhusu vyakula mbalimbali na hujui namna ya kuviandaa njoo kwenye uzi huu uliza nitakujuza kwa wakati.
  13. Venus Star

    Ijue USA kwa namna nyingine (Details about USA you don't know)

    Kuna watu wanaweza wakashangaa sana kuona USA kuna watu wanaishi maisha magumu sana. Kwamba huko USA kuna watu hata mlo wa siku kwao ni shida. Kuna watu wanashinda njaa na wanakufa kwa kukosa chakula. Leo katika uzi huu nitaenda kiundani sana kuiongelea Marekani katika mambo yafuatayo:- 1...
  14. Equation x

    Namna ya kupima IQ yako hapa jukwaani

    Chukua idadi ya 'likes' ugawanye na idadi ya ujumbe uliochangia kwenye hili jukwa, = (likes/ujumbe). Kama utapata zaidi ya 1, hiyo inatafsiri mchango wako hapa jukwaani unakubalika na wewe ni hazina, sio 'liability'. Ila kama katika kugawanya ukapata pungufu ya moja, hii ina maana michango...
  15. The Burning Spear

    Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...
  16. M

    Siasa ni mfumo wa maisha, hakuna namna mtanzania ataacha kujihusisha na siasa.Tuwaache waongee,wakosoe. Uzalendo na maslahi ya taifa yazingatiwe

    Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
  17. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    Mawazo juu ya namna ambavyo tunaweza kukabiliana na ugumu wa maisha na kujipa uhuweni

    Kumbuka, hakuna suluhisho la haraka au rahisi la kutatua matatizo yote ya maisha, lakini kutumia mbinu hizi na kufanya jitihada zako binafsi kunaweza kuboresha hali yako na kukuwezesha kuhimili ugumu wa maisha kwa ufanisi zaidi. Kuelewa jinsi ya kupunguza ugumu wa maisha ni muhimu sana kwa...
  18. Nrangoo

    Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

    Habari wadau. Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank. Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. . Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
  19. K

    Namna mchawi sugu alivyouawa

    Kuna mchawi mmoja katika kijiji kimoja, jina la Kijiji limehifadhiwa. Huyu mchawi aliua vijana wengi sana, kwa mfano Kijana akija mjini siku akirudi nyumbani na kupeleka zawadi kwa wazazi wake, asipo mpelekea na yeye, ni kosa unastahili kufa au hata ukipeleka zawadi kwa wazazi inayozidi ya...
  20. Webabu

    Jifunze namna Urusi alivyokwamisha "counteroffensive" ya Ukraine

    Malalamiko kuwa vita vya kukomboa majimbo ya Ukraine sasa yako wazi kutoka kila upande.Kutoka kwa raisi wa Ukraine,makamanda wake ,askari wa kawaida na hata kutoka nchi za NATO ambazo zilichangia silaha nyingi kufanikisha hatua hiyo. Kama alivyotabiri generali mstaafu wa Marekani bado kuna...
Back
Top Bottom