namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Namna ya kufungua account iliyozuiwa kupost Telegram

    Nimekuwa nikitumia account yangu ya Telegram lakini hivi karibuni wamenizuia kupost kwa groups lakini kutuma kwa individucal ambao nime save namba zao hakuna shida. Tatizo ni kwa groups, ukitaka ku-post chochote inakuja SMS inasema sorry, you are currently restricted from posting in this group...
  2. SoC03 Namna Serikali inavyoweza kushiriki kwenye mabadiliko ya teknolojia katika elimu

    Tovuti za wizara ya elimu zimekua na muundo ule ule tangu awali zilipotengenezwa hadi leo, hakuna vyumba vipya ambavyo vinabeba maudhui mapya ya kutoa msaada kwa wanafunzi. Wote tunajua teknolojia inakua kwa kasi sana na kutokana na kasi hii ya teknolojia sekta nyingi zinakwenda kupitia...
  3. Njoo tujifunze namna ya kutengeneza Mobile Apps kwa Flutter

    Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS, Windows, Linux na Web. Kutokana na ujuzi mdogo nilioupata nikaona sio vibaya nikianzisha uzi huu ili...
  4. Nimegundua namna ya kufanya mvua inyeshe

    Leo ni mara ya 6, kila nikiosha kigari changu jioni usiku au asubuhi sana mvua itanyesha. Mpaka naanza kuwaza au huyu jirani yangu ananifanyia hujuma? Maana huu mtaa mzima mimi ndio nina gari kali, tena ya miaka ya hivi karibuni tu; ni Toyota Corolla ya mwaka 1986 kama imetoka Japan jana tu...
  5. Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

    kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia...
  6. Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake. Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya...
  7. Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja. Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
  8. N

    Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

    Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea. Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua? Hivi huyu hana management? Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
  9. Hivi Dodoma ndio hakuna maji namna hii?

    Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji. Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa. Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu. ==== UFAFANUZI KUTOKA DUWASA ====
  10. Video: Watu wa namna hii wanapatikana wapi katika hii Nchi?

    Inashangaza halafu inahuzunisha, inafikirisha, inasikitisha, inaumiza sana. Unaweza uliza hawa watu wa hivi wanapatikana wapi nchini.
  11. Namna ya kuunda Pangaboi wima la upepo kuzalisha Umeme

    NAMNA YA KUKOKOTOA NGUVU YA PANGABOI WIMA LA KUKOKOTWA NA UPEPO. Kukokotoa pangaboi linalokokotwa na upepo unahitaji kujua vitu vikubwa viwili Nguvu ya upepo iliyopo na Ufanisi wa pangaboi. KUKOKOTOA ILI KUPATA THAMANI HALISI YA NGUVU YA PANGABOI LAKO. 1. FAHAMU ENEO LINALO SUKUMWA NA UPEPO...
  12. DARASA: Namna ya kumfanya anayekuda akukopeshe tena kabla hujamlipa deni la awali

    Ngoja nikumegee kidogo, hivi unajua kama Kukimbia madeni ni hatari kuliko kuyakabili? Unapokuwa na deni au madeni siku zote ni mzigo, ambao unatamani siku moja ungepata nafasi ya kuutua. Hivyo basi ni vizuri kuangalia namna ya kuutua huo mzigo. Mimi na wewe tunakubaliana kwamba huwa tunakopa...
  13. Je, ni namna gani ongezeko la elimu, anguko la malezi, na matumizi ya simu janga yanacchochea ufuska kwenye jamii?

    Hello JF, 👇👇👇 Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko. Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
  14. Mashabiki Wenzangu, Yanga anahitaji ushindi wa namna yeyote Kwa Mkapa ila Asiruhusu tu yeye goli hicho ndio kikubwa zaidi,Yani Ashinde na Cleansheet

    Habarini wanajukwaa hili! Naomba nitoe mawazo yangu kuelekea Fainali ya Jumapili ambayo Yanga anacheza na USM Alger watu wengi ambao hawajui mi nawaita hawajui Mpira hadi wachambuzi wa soka hapa bongo ukiwasikiliza wanakuambia Yanga anatakiwa kushinda goli Nyingi kwa Mkapa!!! This is Crazy...
  15. I

    Namna ilivyo vigumu kwa mfumo wa ulinzi wa anga (Patriot) kuharibiwa kabisa na kombora la Hypersonic (Kinzhal) Missile

    Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System. Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…