namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Karma: Joe Biden hajawahi kufurahi namna hii tokea Kamala achukue nafasi yake, Ahutubia ikulu kwa sura yenye tabasamu licha ya Trump Kushinda

    Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume, Biden baada ya kujitangaza kujiengua fasta akafanya endorsement kwa Harris ili awavuruge team...
  2. M

    Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  3. Loading failed

    Wanaume chukueni madini hapa namna ya kuishi na hawa wanawake ili usife mapema

    Ndugu zangu habari za wakati huu Kutokana na malalamiko mengi kuendelea juu ya hawa wanawake hizi ni mbinu na akili pekee ya kuishi na hawa viumbe 1: Kua na msimamo mkali usio na madhara na mwanamke akifanya kitu cha kukukomoa usionyeshe kama umeumia mpuuze 2: Usiweke demokrasia na mwanamke...
  4. kyagata

    Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

    Habari za Jumapili wakubwa. Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji. Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu. Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima. Tumepiga...
  5. Mpwimbe

    Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  6. Eli Cohen

    Tupambane tuweze kujenga angalau vijumba kama hivi

    Tafuta uwanja mkubwa sasa: Chumba self Kasebure Vyakutafatana Bachelor anakupa pesa
  7. Kaluluma

    Msaada namna ya kurenew leseni ya biashara kupitia Tausi Portal

    Habari za leo wakuu, Mimi ni kijana wenu mhangaikaji. Leseni yangu ya biashara ya hardware imefikia ukomo, na nilihitaji kuirudia kupitia Tausi Portal. Changamoto niliyonayo ni kuwa sioni sehemu ya kufanya urudishaji wa leseni hiyo. Nimefuata hatua zote hadi ninapofika sehemu yenye vipengele...
  8. Equation x

    Namna ya kuwa na wazo la kuanzisha na kumiliki kiwanda

    Tembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka. Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo maduka? Ingia mzigoni kwa kutengeneza hiyo bidhaa iliyokuja kichwani mwako. Ajiri wasambazaji; baada...
  9. F

    Mwanamke ni kiumbe wa namna gani?

    Nisaidie kutoa jibu
  10. Marcy

    Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake

    Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda Unafikiri anakupenda wew? Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga Anakuambia anakupenda na huku...
  11. nzalendo

    Kijana Je, unajua namna ya kumundaa Mwanamke?

    Nimekuwa na mashaka mengi kwa namna ninavyopata malalamiko mbalimbali toka kwa vijana katika kipengele cha mahusiano. Kutokana na kukosekana kwa mafunzo ya JANDO na UNYAGO nimeona nina dhima kama mzazi kutoa Elimu kwa vijana katika kipengele cha mahusiano. Kwa sababu shuleni Elimu hii pamoja...
  12. A

    Sifa za madikteta na namna wanavyojibu maswali ya watawaliwa

    Madikteta hujibu maswali kwa njia zinazolenga kudumisha mamlaka yao, kudhibiti simulizi, na kuepuka kuonekana wanyonge. Hapa kuna mbinu kadhaa wanazotumia: 1. Kupotosha: Wanapotakiwa kujibu maswali magumu au ya kukosoa, madikteta mara nyingi hupotosha mjadala kwa kuelekeza mazungumzo kwenye...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Dhambi inatakiwa ikemewe namna hii. Sio kubembeleza

    Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko. Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo. Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu...
  14. Akili 09 Nguvu 01

    Msaada wa Namna ya Kutengeneza Mtindi

    JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa? Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi Naombeni Msaada wa Namna bora ya Kutengeneza Mtindi kutoka kwenye Maziwa mabichi ya Ng'ombe. Nataka...
  15. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Ni kwa namna gani Upendeleo wa Kijinsia huwakwamisha Wanawake kushiriki katika Siasa Tanzania?

    Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa. Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii, ambapo nafasi za uongozi zimekuwa zikihusishwa zaidi na wanaume. Utamaduni wa kijamii unawapa...
  16. Mama Mwana

    Namna ya ku withdrawal ton coins zangu kuja direct to my bank account

    habari waungwana, naomba kuelekezwa namna ya kufanya hiyo transaction kutoa ton coins zangu kuja bank account kwamwneye kujua
  17. M

    Msaada namna ya kupata ussd l/mmi code za Samsung Z fold 2

    Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
  18. KENZY

    Je, kuna namna naweza ku play music ya simu yangu hata kama ipo mbali na mimi..?

    kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi.. Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..? Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
  19. ranchoboy

    Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  20. kagoshima

    Mwenyekujua namna ya ku confirm chuo cha kujiunga kwenye Multiple selection

    Hello ni wapi na confirm chuo ninacho kitaka kwenye case ya multiple selection? Je ni TCU? Je nikwenye moja wapi ya vyuo? Na process zikoje. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom