nampenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Azim Dewji awajibu wanaomponda Chasambi, adai "mimi mbona nampenda Maxi, je mi ni Yanga?

    Mfadhili wa zamani wa Simba SC, Azim Dewji amesema haoni maana yoyote ya kosa la Ladack Chasambi katika mechi ya Fountain Gate lizue mjadala kwa sababu alishawahi kumtaja mchezaji wa Yanga Maxi Nzengeli kama mchezaji kioo chake. Dewji amesema yeye pia anampenda Maxi Nzengeli na ndiye mchezaji...
  2. DeepPond

    Elon Musk: Nampenda TRUMP Kama MWANAUME anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake

    Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake. Aisee, imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
  3. Fazz

    Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

    Salaam wakuu Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa. Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi. Nilikutana na huyu binti...
  4. Melki Wamatukio

    Picha: Amesema kama nampenda tushone hivi kwa gharama zake halafu twende kwao Sinza kwa miguu

    Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni...
  5. T

    Mlio karibu na Iman Luvanga mwambieni nampenda

    Ndugu zangu mficha mauti kifo humuumbua wakuu kuna mtangazaji wa crown media anaitwa Iman Luvanga wakuu nampenda na kumpenda zaidi 🥰🥰🥰🥰 mfikishieni mlio karibu nae aiseee
  6. Mwl.RCT

    Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani

  7. Melki Wamatukio

    Jirani yangu ana mke mzuri nimetokea kumpenda sana

    Huyu jirani yangu ni playboy, kila baada ya miezi mitatu alikuwa ana-renew wanawake, lakini kwa huyu aliyenaye kwa sasa, anavutia sana. Siku zote nimekuwa nikingoja kifurushi kiishe, ni mwezi wa nne sasa tokea amekuwa naye, hakuna hata dalili. Nimechoka kumchukulia sheria mikononi, siku zote...
  8. RUSTEM PASHA

    Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

    Aiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu. Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
  9. Superbug

    Nampenda Rais Samia siiungi mkono CCM na mambo yake

    Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
  10. The Mongolian Savage

    Nampenda sana “To Yeye”

    Nothing to hide here. She's my everything the air I breathe my bread when am feeling hungry. I will cross the ocean for her, I will go bring her the moon, al be her fortress tall and strong. And if there's a mountain to move I will move that mountain for her. I dont fear death Am ready to...
  11. M

    Nampenda sana Nifah

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Sina maneno mengi. Though she's taken, she is my dream woman. Secret admirer!
  12. M

    Nampenda member Eph

    Huyu memba nampenda sana, mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+. Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama. Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani, humu wanakupaparikia ikiwemo mimi, nmekusoma sana kimyakimya lakini sikati tamaa. Sema utakacho dear...
  13. Melki Wamatukio

    Binti aliyeonesha dalili za kunipenda kaniruka futi mia baada ya kumtongoza

    Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭 Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
  14. M

    Nampenda huyu memba

    Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga nilimuomba afungue hajajibu sijui nilimfanyaje id yake inaanza na e.... Nataka awe mpaka mama wa watoto wangu.
  15. Uncle Mabiki

    Bado nampenda Sumaiya ingawa nimeshaoa - True Story

    Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake. Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu...
  16. KakaKiiza

    Nampenda sana Rais wangu Mama Samia ila baadhi ya aliowaamini siwapendi!

    Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Jibu; Nampenda kwa sababu zifuatazo Nikiongozi wa Nchi...
  17. Cheology

    Nampenda sana Nargis Mohamed

    Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia. Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka ile.
  18. SankaraBoukaka

    Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

    Habarini humu wandugu,, Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani. Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya...
  19. Tamu3

    Nampenda Priska

    NAMPENDA PRISKA Nampenda Priska, shairi namtungia, Mwili umetakasika, hakika anavutia, Sauti akitamuka, hoi mie nabakia, Nampenda Priska, shairi namtungia. Macho yake ya gololi, Mungu mempendelea, Kimtazama kwa mbali, anarembua rembua, Kama anapenda wali, mie tamnunulia, Nampenda Priska...
  20. Makonde plateu

    Wanawake wa kichaga wote jehovah awabariki sio kwa huyu bikra aisee nampenda sana

    Sikuwahi kuamini ipo kama nitaweza kukutana na bikra wa mwanamke wa kichaga ila mimi nimejonea laivu na mimi ndiyo nimeitoa aisee yaani sio poa poa kabisa demu wa kichaga ana mapenzi balaa asikuambie mtuu Baada ya kuvutiwa na huyu binti ambaye nimemkuta ana miaka 30 ila nimekuta hymen ipo...
Back
Top Bottom