nampenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtondoli

    Nisaidieni nampenda sana Giggy Money

    Sina mengi nisaidieni kumwambia, nampenda mwambieni nitatoa mahari anayotaka yeye, afu mwambieni ndoa tutafungia Saadani, mwambieni niko tayari na nipo kwa ajili ya kumpa Raha, siitaji kulelewa ila kumlea.
  2. Saad30

    Mke wangu nampenda ila nashindwa kujizuia nionapo warembo

    Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo? Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea kimoyomoyo ujue mimi nimeoa afu afu toto kama hili linakatiza basi najisahaulisha naanza kutia...
  3. kwisha

    Ninampenda Jenifer Kanumba, nisaidieni jinsi ya kumpata

    Nilipo kuwa mtoto kipindi kile cha 2011 nilitokea kumpenda Saana uyu mtoto wa kike. Sasa nimekuwa, bado mapenzi yangu Yako pale pale i want to be with this Girl in my life. Please Who can help me to get her phone number ni nani anaweza kunitafutia number zake au kuni unganisha naye? Please Nina...
  4. Nduka Original

    Mpenzi wangu ana uke mkubwa ila bado nampenda

    Nimemkuta huyu mpenzi wangu akiwa na mtoto mmoja na sasa ni kipindi cha miaka saba sasa. Cha ajabu tulitumia miaka mitatu tulikuwa tunafanya kila kitu lakini aligoma kabisa kusex na mimi. Tulikuwa tunaenda chumbani au tunakaa kwenye gari tunafanya kila kitu ila ukimwambia msex hataki kabisa...
  5. Cmfungua

    Nina mpenzi mpya ila mpaka mimi nimtafute

    Poleni na tozo za miamala Mimi nina mpenzi mpya kabisa ila tatizo nisipomtafuta mie baasi ujue ndio siku imepita hivyo. Nikimwambia 'Nakupenda' anajibu ahsante. Nikimpigia simu anasema ana kazi atanitafuta baadae baasi hiyo baadae mpaka mie nimtafute. Nikimtumia msg anajibu inshort sana yaaani...
  6. J

    Sugu: Ukiweka siasa pembeni, nampenda Mama Samia

    Mbunge mstaafu wa Mbeya mjini kupitia Chadema mh Mbilinyi aka Sugu amesema hata tukiweka siasa pembeni anamkubali na kumpenda mama Samia, mh Rais wa JMT.
  7. B

    Mrejesho: Tangu niachane naye nishapita na mahusiano na watu watatu lakini bado sijapata nitakako

    Wadau natumai mko poa. Nazama moja kwa moja kwenye mada. Miezi takribani 5 iliyopita nilileta mada humu 90% ya mawazo ya wadau niliyatumia na yalinisaidia sana. Najifeel zaidi ya hom humu. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye nilitegemea mwaka huu kumuoa baada ya kumaliza masomo kwa bahati...
  8. M

    Siyo kwamba nampenda Rais Samia, bali nafurahi hofu ya watu wasiojulikana imeondoka

    Ilifika mahali hata kuongea siasa unaangalia kushoto na kulia ndiyo uongee,tena na unayemuamini. Ilifika mahali ukiongea halafu ukataja neno Tundu Lissu badi kama pana mfanyakazi wa serikalini unaona amaondoka kimyakimya. Simu zinarahisisha biashara lakini ilifika mahali mtu hapendi muongee...
  9. Bin Shaib

    Sina amani naye japo nampenda huyu binti

    Bwana wetu Yesu asifiwe wapendwa, Asalaam naalykum kwa waisilam wote natumaini mu wazima wote. Moja kwa moja nizame ndani ya maada wapendwa. Mimi ni kijana ambaye natarajia kuingia kunako ndoa ikimpendeza Mungu wangu, Umri wangu miaka 25 Kuna binti ambae tulikutana kwa mazingira fulani...
  10. Deejay nasmile

    Ana mpenzi wake, ila na mimi nampenda sana. Nifanyeje?

    Jamani yaani kila ninapomuona huyu mdada, nachanganyikiwa sana. I really love her, sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa. What can i do? Nipeni mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.
Back
Top Bottom