nampogeza mwananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Nampongeza mwananchi kwa kunipa ushirikiano wa kusambaratisha ndoa ya Mwanafunzi wa Darasa la 6 Kata ya Mambali Nzega, Tabora

    Wasaalam. KISA; Tarehe 6 Julai, 2025 Jumapili, jioni majira ya saa 9 nilipokea taarifa ya ujumbe wa simu (sms) kutoka kwa mwananchi mzalendo kutoka huko Tabora, Nzega, kuwa: kuna mwanafunzi wa darasa la 6 kaozeshwa kwa nguvu na wazazi wake na kuna juhudi za kuficha hizi taarifa. Aidha...
Back
Top Bottom