Nikiwa nasafiri nilipita katika standi hiyo nikiwa natafuta gari la kuunganisha kwenda mikoa ya kanda ya ziwa hivyo hivyo ikabidi niende chooni
Japo huduma ni ya kulipia ila mazingira yake Sio mazuri mfano katika upande Wa masinki ya kuwanawia maji mengine hayatoi maji na mengine hayapo...
Anonymous
Thread
dodoma
miundombinu
nanenanenanenanedodoma
ubovu
ubovu wa miundombinu
vyoo
Hali ya vyoo kwenye maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Dodoma ni changamoto, huduma ya maji ni changamoto na kuna vyoo vichache kulingana na wingi wa Watu wanaofika eneo hilo. Kwa tukio kubwa la kitaifa kama hili, ni jambo la kushangaza kuona miundombinu ya msingi kama vyoo ikipuuzwa...