Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja.
IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA?
Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la kijeshi la nchi ya Iran,ikishirikiana na kikundi kutoka nchi ya Iraq(Iraqi Popular Mobilization...
Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.
Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.
Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?
Je, anafurahi wadhifa wa urais...
Ni kilio cha jamaa mmoja akilalamikia gari yake kukamatwa kwa deni la maegesho lililofikia tsh 400,000/= kwa muda wa miezi mitatu tu, tena inje ya nyumba anayoishi,
Hawa parking walikua wana kifurushi cha siku angalau kilikua fair, ila kwa sasa ni shida kweli kweli
Yaani kwa siku ni lazima...
Ni mama zetu sawa, wake zetu pia, huwa tunaenjoy sana mtupapo utelezi ila ni hatari sana hawa viumbe.
Ukiachana na sisi wajamba kunani maanguko ya watu wengi maarufu, matajiri, wasanii wakubwa, wanamichezo pale waangukapo basi asilimia 90 wanawake ndio chanzo.
Kuna wamba wameenda mbali zaidi...
Kuna mchuano mkali sana unaendelea kwenye siasa za mjii wa Moshi ambako makada wawili wa Chama cha Mapinduzi, Priscus Tarimo (mbunge)na Ibrahim Shayo a.k.a Ibra Line kuelekea uchaguzi Mkuu hapo mwakani.
Mchuano huu umekolea hasa kwenye magroup ya WhatsApp ambako Ibra Line amepewa jina jipya la...
Sijui ni lini hii Poverty Mentality itaondoka ndani ya Vichwa vya Watanzania. Yaani unakutana na Mtu ana Simu ya Thamani Kubwa sana na ya Kisasa ( tena Boss mahala fulani ) halafu tena unamkuta ana Kasimu ka Shilingi Efu Aobaini au Elfu Thelathini na ukimuuliza kwanini ana hiyo Simu atakujibu...
Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge.
Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia.
Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure.
Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya.
Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma...
Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?
Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?
Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium)...
Katika mazungumzo yanayoendelea nchini Misri ili vita visitishwe,Hamas imeweka wazi kuwa hawana mateka 40 kwa vigezo vya Israel inaotakiwa iwasalimishe.
Mateka hao wa mwanzo kati ya mia na kitu iliobaki nao, katika mazungumzo hayo ilitakiwa wawe ni akina mama na watoto,wazee na wagonjwa...
Je, Huyu Mchezaji ni nani?
Ameshinda
Ballon d'Or
Copa America
La Liga
Copa del Rey
Kombe la Dunia
Klabu Bingwa Dunia
Mfungaji Bora World Cup
Mfungaji Bora Ulaya
Mchezaji Bora Ulaya
Amecheza Klabu 4 Kubwa Ulaya
Pamoja na mafanikio yote hayo, Mchezaji huyu hajawahi kushinda Taji la Ligi ya...
Nyaraka za kufungulia na kujibu kesi Mahakamani (Pleadings) kama vile hati ya madai (plaint) na hati ya utetezi (WSD) zinatakiwa kusainiwa na mhusika (mdai au mdaiwa) pamoja na wakili wake (kama yupo) au mtu yeyote ambaye ameruhusiwa na mhusika.
Hata wakili peke yake anaweza kusaini kama tu...
Nimekaa natafakari kwa nini baadhi ya watu wanajiita chawa. Leo nimepata jibu kuwa ni WANYONYAJI.
Ningeomba serikali ipige marufuku watu kujiita chawa.
Kwa wale tunaounga mkono uongozi wa rais Samia basi tuitwe tu WAPAMBE coz tupo naye bega kwa bega.
Mimi ni mpambe pia.
Heshima kwenu wakuu.
Katika wiki 2 hizi nimeona watu wakiandika sana hili jina la Ali Msomali hivi ni nani huyu jamaa ?
Ni Mtanzania au ni Msomali kama jina lake lilivyo ? Nikasema niwaulize wakuu mnijuze tafadhali.
Shukran kwenu wakuu.
Waliokuwa wanadharau kufika robo fainali wamefika robo fainali kwa bahati na wametolewa KIUTU UZIMA wanabaki kulalamika.
Sasa ni wakati wa kulinganisha ni timu gani imefika mara nyingi robo fainali za mashindano yote ya CAF.
Asitokee mtu akasema kufika robo fainali ni hatua ndogo.
Nipo kwenye kampuni fulani, kila siku nakusanya cash ifikapo jioni nafunga hesabu zangu namkabidhi boss.shida ni kwamba boss ajawahi kuhesabu pesa ninazompa kila siku, ukifika mda wa makabidhiano utasikia tu nakuamini weka kwenye droo, Mimi akinambia hivyo naziweka lakini moyoni silizikagi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.