Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na...
Habari wa ndugu wa tanzania??
Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa machungu sana na kuna kitu kipo kwenye koo kinanifanya machonzi kunilenga lenga kwa huzuni juu ya...
Salaam!
Salaam toka Kinyerezi mtaa wa Sadani kwa Babu Ali,huu mtaa una miezi miwili hauna maji,ratiba ya kufungulia maji mara moja kwa mwezi mtaa huu inarukwa either kwa makusudi au wanatuona sisi manyani,kuna mitaa michache inapata maji kwa mwezi hata mara 3 kimpango mkakati ili itumike kama...
Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote?
Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea...
Naona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi nyingine kuwa natoka nchi yenye matatizo yanayosababishwa na ujinga wa baadhi ya viongozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.