naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Quinton Canosa

    Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

    Habari za jumapili wana JamiiForums Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana...
  2. M

    Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

    Habari wadau. Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia. Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission. Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana ila hawa watatu wameniathiri kisaikolojia. Mmoja aliitwa Nelson mwingine Frank na mwingine Abdul...
  3. Cecil J

    Nikikutana na mwanamke anayehubiri 50/50 naona nijichepushe mapema

    ...
  4. Doto12

    Nimepanga nijenge within existing building lakini naona mkwamo

    Ni katika harakati za kujenga nyumba ya ndoto tangu. Iko hivi....nina kipato cha kawaida sana. Nikeshajenga nyumba ambayo ni sehemu ya nyumba kubwa. Nyumba tarajali ina floor moja. Kwa sasa naishi kwenye sehemu ya jingo existing building Naiota kila uchao. Katika ujenz ulioisha nilikiwa...
  5. A

    Nilianzisha na kukuza biashara from zero ila kwa hapa nilipofika naona kabisa nahitaji msaada

    Wakuu habari ya asubuhi. Hongereni na majukumu na pia Poleni na changamoto za hapa na pale katika uwajibikaji, ni sehemu ya maisha tu. Kwa nia njema tu naomba nitangulize angalizo kwamba hili sio tangazo la nafasi za/ya kazi. Nitajitahidi kuweka maelezo sawa ili ujumbe wangu uliokusudiwa...
  6. M

    Kale katabia kakubariki na kujivunia umasikini naona kanaisha Tanzania

    Miaka ya nyuma Tanzania ilikua ukiwa n'a pesa unaonekana mwizi,unaroho mbaya na sifa mbaya mbaya Watu walikua wanajivunia umasikini au kutokua n'a pesa Hâta zile jamii zilizokua zinapambana kuitafuta pesa zilikua zinapewa sifa mbaya kama kutoa kafara ,n.k Ila Sasa iv watu wanapigika haswa...
  7. MIXOLOGIST

    Naona majina haya ya kiasili yakienda kuvuma siku za usoni

    Nakiri kwamba mimi siyo muumini wa majina ya kikoloni. Wakati wa utoto wangu nilipenda na kutamani majina ya kiasili kama UHURU, VITA, KWAME, MAPINDUZI, AZIMIO, UJAMAA na mengine yanayofanana na hayo Gone are those names kwakuwa zilikua zina reflect struggle za independence. Sasa tuna majina...
  8. Auto-Marvelt

    FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

    [emoji881][emoji881]𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘[emoji881][emoji881] [emoji471] #CAFCL [emoji460]️ Simba SC Vs Jwaneng Galaxy [emoji414] 02.03.2024 [emoji909] Benjamin Mkapa [emoji797] 7:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Simbaa #WenyeNchi# Hello [emoji112][emoji112] Tanzania. Timu ya Wenye Nchi, Simba...
  9. Jadda

    Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Ndio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi...
  10. Komeo Lachuma

    Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo. Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia...
  11. FRANCIS DA DON

    Naona Barabara ya Sam Nujoma maeneo Mlimani City imeanza kufumuliwa, ni BRT phase 5?

    Kama ndivyo, nashauri BRT ya Mbagala kutokea Gerezani na kutokea Magomeni zianze kazi mara moja. Hakuna maana kukamilisha mradi halafu mnasubiri wiki 2 kabla ya uchaguzi ndio mnazindua, huo ni usanii. Sikupiga picha.
  12. Raia Fulani

    Nimeotesha mnyanya, naona unarefuka tu

    Mnyanya ndio unapaswa kuwa hivi kweli?
  13. ndege JOHN

    Naona aibu kutoa 10,000 kwa teller maana sina ATM card wala sim banking

    Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line niliyosajilia siitumii ilipotea kwa hiyo option hapa ni kutoa kwa kutumia card ya NIDA kwa teller...
  14. James_patrick_

    Naona waajiri hawapiti humu, tupo waomba kazi tu

    Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu tunapeana moyo tu maskini dah!
  15. Bams

    Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

    Madaraka makubwa, usipokuwa na hekima, hasa hekima ya Mungu, yanalevya. Na ukikosa hekima unaweza kudhania kuwa wewe ni kila kitu, kwa sababu hakuna wa kukuhoji wala kukuadhibu. Mathalani madaraka ya Rais wa Tanzania, anaweza kuyatumia vyovyote apendavyo, hata kuua, akitaka, na asihojiwe wala...
  16. runtown

    Tokea shirima wa presicion afe naona hali sio hali tena

    Imekua ni page ya mahaba
  17. G

    Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
  18. CONTRARIAN

    Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

    Inaumiza sana ndugu zangu. Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu.. Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea. Inauma Sana ndugu zangu, Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate...
  19. Balqior

    Naona kama miaka ya 2009- 2013 nyimbo nyingi nzuri sana za mziki zilitungwa kwenye kipindi hicho

    Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile 1)Dynamite ya taio Cruz 2)International love ya pitbull ft Chris brown 3)Coconut tree ya mohombi 4)Bumpy ride ya mohombi 5)Moves like jagger ya maroon 6)On the floor ya Jenifer Lopez 7)Dj got us fall in love again ya usher...
  20. M

    Ndoto ya Marekani na NATO kuishinda Urusi kwa kutumia mikono na damu ya Ukraine inaishia mdogo mdogo!

    Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano...
Back
Top Bottom