naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC nasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  2. Kaka yake shetani

    Kwa hiki kipindi kifupi kuelekea 2025 uchaguzi naona tengua tengua ni kama msemo kukumbuka shuka asubuhui

    Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu. Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi. Hakuna mwenye uwakika kwa mda huu lazima utendaji upungue mfano unaweza kuwa kitengo fulani kesho ukawa benchi...
  3. 6 Pack

    Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja. Miaka miwili...
  4. britanicca

    Baada ya kudokeza ulinzi wa Rais uimarishwe naona mtu kabadilishiwa majukumu, ni mkuu wa Misafara ya Rais

    Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia Naona ameamua amtoe muhusika wa ulinzi hadi kuwa RAS Kilimanjaro kutoka kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais...
  5. THE BEEKEEPER

    Naona vijana wengi sikuizi wanaogopa kuoa wanawake single mothers, nani kawatisha?

    Mko powa Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
  6. Kaka yake shetani

    Aliyemuelewa kamanda muriro hapa mimi kwangu naona kama anachanganya mafaili

    https://www.youtube.com/watch?v=uqQyTKITO4M
  7. Kaka yake shetani

    Serikali yetu naona haijitambui kwa kitendo cha kupeleka wasanii Korea badala ya wasomi na wawekezaji

    Leo nimeulizwa na mzungu mmoja ambaye nafanya kazi naye shirika moja hapa Tanzania, hivi serikali yenu huwa akili wanazo kweli?. Kutumia gharama kupeleka wasanii sababu ni nini? Hapa Tanzania tuna wasomi ambao wangepelekwa wangekuja na mtazamo mpya kwa walichokiona kama teknolojia, afya...
  8. Mshamba wa kusini

    Naona noma kwenda gym na kamwili kangu kembamba

    Habari Muda mrefu nimekuwa nikitamani kuanza mazoezi ya mwili gym, lakini mara zote huwa napatwa na hofu kuwa pale gym mimi pekee yangu ndio nitakuwa kimbaumbau Wale watu wa gym mliwezaje kuanza mkiwa na mili yenu membamba mimi naona noma wakuu.
  9. D

    Tukiruhusu zile enzi za giza kurudi tumekwisha. Tuliponea chupuchupu, kidogo tutekwe wote abaki peke yake

    Chonde chonde Rais Samia hata kama wamekuudhi vipi tafadhari tusiridi enzi zile za giza maana wawekezaji wataanza kukimbia tena tukose ajira kwa maelfu ambazo zipo sasa. Mahoteli yaliyofungwa kipindi kile yote yanafanya kazi sasa. Ukienda pale Manzese watu wanachapa kazi usiku na mchana mana...
  10. ndege JOHN

    Naona kumechangamka mjini watu wamepata hela

    Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa. Ila mnaotegemea mulipwe madeni tulieni kwanza watu walikuwa na ukata wa kutisha acha wale wale maisha kidogo...
  11. Engager

    Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

    Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu. Hata hivyo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa...
  12. L

    Kila nikiangalia Bunge nawachukia Wabunge, naona ndiyo waliosababisha tupoteze bandari zetu

    Siwapendi wabunge hasa niwaonapo bungeni wakiongea. Sipendi kuliangalia bunge hilo kwa sababu halina baraka za wananchi. Walishiriki kuuza bandari zetu kwa DPWorld na wakatoa sifa Kede kede kwa wizi huo wa kimkataba. Nadhani kama nchi naomba picha zao zichapishwe kwenye magazeti na kalenda...
  13. K

    Mahakama inaangaliwa na chombo gani katika dhana nzima ya 'Balance and Check? Naona malalamiko juu ya mahakama yamekuwa mengi

    Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama. Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa...
  14. Mgeni wa Jiji

    Binafsi naona kama mwanadada rapa Dipper Rato amezichanga vibaya karata za kisanii

    Wakuu wa sanaa na burudani habari! Kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo watakuwa sio wageni kwa huyu mwanadada anayejiita Dipper Rato. Binafsi nilimfahamu Dipper zaidi ya miaka 15 iliyopita. Ila ghafla alipotea kwenye game. Wakati namfahamu Dipper bado alikuwa akitumia jina la Dipper Kivuyo...
  15. King faisal

    Naona Toxic kaamua kumtolea uvivu Young Lunya

    Ngoma inaitwa mee
  16. ndege JOHN

    Ukungu baharini

    Ukungu unaotokea juu ya maji kwa kawaida hujulikana kama ukungu wa baharini au ukungu wa ziwa. Inatokea wakati hewa ya joto na unyevu inapita juu ya maji baridi zaidi. Ukungu wa bahari au ziwa unaweza kutokea juu ya Bahari ya Atlantiki na Pasifiki, Ghuba ya Mexico, Maziwa Makuu na miili mingine...
  17. T

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
  18. I LOVE YOU DUCE

    Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  19. T

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
  20. ndege JOHN

    Naona ni idea nzuri kuishi mkoa tofauti na mkeo

    Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto mawili moja mkoa mwingine akae mke so nachokifanya ni kila ijumaa mchana namfuata mke tunakaa wote...
Back
Top Bottom