Aiseeh!
Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima.
Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika.
Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina...
Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale
Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza.
Mi naona...
Wakuu kwema?
Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani.
Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au...
Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia shida zenu tafuteni hela muwe kama Mimi mtoto mdogo miaka 28 ila pesa nyingi huwa nashangaa jitu Zima...
Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
Yaani.....
1. Nimepoteza kabisa Nuru
2. Natia Huruma niwapo na Watu
3. Sijiamini amini
4. Najishtukia
5. Napatwa na hamu ya kwenda Kijijini mara kwa mara
6. Nikikumbuka tu nilichokifanya Moyo unaniuma mno
7. Moyo wangu unasema nijitokeze tu mbele za wana JamiiForums (Watu) kuomba Msamaha...
Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika!
Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo hayakudumu, tuliachana mwezi 8 mwishoni. Mwezi wa tatu mwaka huu nikakutana na mtu mwingine. Mimi ni...
Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo.
Mpira...
Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu.
Kuna hili tamasha linafanyika huko.
Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival
Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika.
Yaani watu mamia Kwa mamia...
Salaam wakuu;
Kwa siku za karibuni naona kipindi cha KASRI cha salim kikeke ndio imekuwa Drive show nzuri zaidi, ukizingatia maudhui yake na watu anao wahoji.
Jamaa naona ana bonge moja la idea, Kweli aliyekuzidi ki exposure amekuzidi tu.
Baadhi ya vijana, wajifunze sana kwa salim kikeke...
Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba.
Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha. Taarifa zilizopo ni kwamba anachati akiwa uvunguni mwa kitanda chake.
Huyu ni simba wa kuchongwa kwa...
Hapo vipi.
Kwa mpira waleo siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kisukari na presha.
Kwa mpira wa leo waliocheza Simba dhdi ya APR ilyoifunga Yanga juzi bao 3 kwa 1 naona Yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
Kumradhi wanabodi kuuliza si ujinga naona tu nguvu nyingi sana zina tumika kuhakikisha TLS Inapata kiongozi fulani. Pengine tofauti na jumuiya zingine nyingi ambazo wahusika huchaguana tu na sa nyingine huchaguana kimyakimya lakini kwa TLS hali ni tofauti sana
Natamani sana kujua nini nguvu ya...
Hivi Siku mara paaaaap kwa bahati mbaya Sura zetu zote zikaonekana kwa dakika kama tano ( 5 ) katika Simu na Laptops zetu ambazo tunazitumia Kuchati au Kuandika mambo yetu mbalimbali hapa halafu Wote tukajuana kuwa kumbe ID ya fulani ni fulani itakuwaje baada ya hapo?
Ninayoyahisi........
1...
Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani nasikia hata sehemu ya Waumini wako walikuwa wanaanza Kukukimbia na kwenda Kwake Buza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.