Za ndaani kabisa ni kwamba Nape na January pamoja na wabunge 15 wa CCM hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe,wakiwamo pia mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mbunge wa Chato, mbunge wa Kilolo, mbunge wa Kigoma Mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa...
Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos.
Makongoro Nyerere anakwenda kuchukua jiji la DAR. Mzee Januari anarudi kusimamia Muungano
Kama sikosei, Dk Nchimbi na Nape haziivi tokea enzi zile walipokuwa UVCCM.
Dalili zi wazi, Dk Nchimbi anaelekea kuwa mtu mkubwa sana ndani ya Nchi hii huko mbele.
Kwa muktadha wa mahusiano yao ya huko nyuma ni wazi Nape hana chake tena.
Hongera Dk.
Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo watawasaidia sana wenzetu wa CHADEMA kwenye uchaguzi wao hasa kwenye kuhakikisha usalama wa kura.
CHADEMA...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .
Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Wagombea wote wakubali matokeo.
"Watu wamejitokeza kwa wingi hilo jambo linafurahisha, nataka kutoa wito kwa Wagombea wote wakubali matokeo sababu hii...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye katika eneo la Kiwalala katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, amefunga mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoani Lindi na kuwataka Wananchi wajitokeze kwa wingi kesho kupiga kura huku akionesha...
Nape Moses Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (MNEC) alipokuwa akifungua mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa aneeleza kuwa ni muhimu wagombea kufanya kampeni kwa amani.
Nape kwa asili ni mtu mwenye mizaha, tabia hii imemsaidia kwingi lakini pia imemuumiza katika mambo mengi. Sio mara ya kwanza kwa Nape kutoa kauli zenye utata kuhusu ushindi wa CCM dhidi ya Upinzani Tanzania. Mwaka 2015 aliwahi kutamka kuwa CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Mwaka 2020 katika...
https://m.youtube.com/watch?v=y9oF0mu09zQ
Mtakwimu mkuu wa serikali atetea takwimu zilizotolewa na TAMISEMI kuhusu waliojitokeza kujiandikisha katika daftari la mkaazi, lililo maalum kwa ajili ya kuweza kupiga kura November 27, 2024 katika uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji...
Salaam, Shalom!!
Utulivu kiasi umeendelea kutamalaki mioyoni mwa Watanzania wenzangu baada ya kuondoshwa Kwa waliokuwa mawaziri vijana wa Makamo / Wazee wachanga, Nape Nnauye na January Makamba.
Hivi sasa, amebaki mmoja au wawili watatu kuelekea u haguzi mkuu, Leo tumwongelee mmoja,
Ndugu...
Kawaida, chama cha siasa kilichopo madarakani kwa kuchaguliwa ki-demokrasia, hakipaswi kuondolewa madarakani kwa nguvu. Uhalali wa kuiondoa serikali madarakani unapaswa uwe kupitia sanduku la kura katika uchaguzi wa kidemokrasia, na kama kuna ukiukwaji wa haki za uchaguzi, mfumo wa sheria wa...
Wasalaam wanaJf ,
Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape.
Swali langu ni hilo !
Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia.
Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu!
Kasi yake ya kujiongezea maadui inatishia mno salama yake ki siasa.
Nahofia hao hapo juu wakiungana kwa minajili ya kumdhoofisha ama...
My Take
Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇
===
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
Kama hali ya kuzuia shughuli za kisiasa ndiyo hii na kukamata viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ndiyo huu, kosa la Nape ni nini?
Nape alitamka kuwa mshindi katika uchaguzi hatokani na sanduku la kura, na huo ndio ukweli kwa nini Samia akamtimua kwa kusema ukweli?
Nimekutana nahii post kwenye mitandao ya kijamii kwenye akaunti yenye jina la mbunge wa Mtama ikitahadharisha watu kufanya siasa za kijinga akidai zitagharimu roho za watu na damu.
Je post hii ni hali halisi na imechapishwa na Nape mwenyewe?
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.