Dkt. Mwigulu wewe unatakiwa kucheza vizuri tu na watu wako ambao wanasemwa semwa kuwania ubunge jimboni Iramba, usijaribu kumpuuza Prof. Kitila Mkumbo na Gwajima pia. Wapo kadhaa na wengine wameshajitambulisha mpaka level ya kitaifa chamani. Sitawataja hapa lakini jua wapo na ni watu smart kweli...
Wakuu
Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari.
Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli.
Ccm hawawapendi wasema ukweli.
Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata.
Mtakuja kunishukuru.
Mbinu zote za ushindi anazijua
Ujasiri aliyo onesha ni wakupigiwa mfano. Lile Gari ni kwaajili ya Waziri na si vinginevyo hivyo baada ya utumbuzi ilitakiwa alikimbize parking sio kubeba mtu ambaye hana cheo chochote wizarani.
Kuna watu unaweza kuwapa lifti ukaishia kukabwa na kuibiwa maana wana uzoefu wa wizi na utapeli.
Mzee Kikwete, Mzee Yusufu Makamba, na Mzee Kinana, naamini wana mchango mkubwa katika mafanikio ya kisiasa ya:
1. Nape Nnauye
2. January Makamba
3. Riziwani Kikwete
Hivi isingelikuwa hao wazee, watajwa wangekuwa wapi kwa sasa?
Wangekuwa juu sana kisiasa na kiuchumi?
Wangekuwa chini sana...
Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado...
Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni.
Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki kampuni na ofisi kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kipindi hiki ambacho wametambuliwa.
Kukosa ajira ya...
Mwaka mmoja na miezi yakutosha niliwahi kuwajulisha juu ya njama za kutaka kuua eGA, Watu kadhaa inadaiwa walikua nyuma ya carpet wakiandaa mikakati hio.
Hivi karibuni inadaiwa watu hao walifikia 98% kuiua eGA, wazalendo wa Makumbusho wakaokoa jahazi dakika za jioni sana (Hongera sana kwao)...
Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza.
Na umeacha alama. Hongera Sana na mapumziko mema ya kustaafu Uwaziri. Endelea Kula mema ya ubunge mpaka Wananchi...
Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu.
Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu wao katika kazi hasa nyakati za uchaguzi mkuu.
Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Kiko wapi sasa?
Magufuli alikunyofoa si kwa bahati mbaya Bali alikuona wewe hufai. Ukaishia kumtukana na kumkejeli. Leo Kiko wapi? Mwenyezi mungu kaamua ugomvi sasa karibu kwenye benchi.
Wewe umejaa dharau,mikogo na mipasho tu kazi huwezi. Ona sasa ulivyoaibika...
Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza.
Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
Januari na Nape kuondolewa sio faraja kabisa kuelekea Uchaguzi,
Hivyo tutafakari ya mwaka 2015 walio yafanya tunaweza kujiuliza ni kweli wameondolewa au watanzania wamefanyiwa kiini macho,
Hao vijana ni hatari sana mfumo unaweza kuwa unahadaa umma sio rahisi kihivyo kabisa katikati ya nyakati...
Shalom,
Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika.
Watanganyika amkeni.
Ujumbe wangu kwa Nape Nnauye na January Makamba nawapenda na sitawaacha tumekua pamoja na...
Tukumbushane zile kelele zenu za DP world ziliishia wapi? Na zile kelele za report ya CAG ziliishia wapi?
Kwa ufupi watanzania wengi ni wasahaulifu na bendera fuata upepo,
Ni vyema vijana wakaendelea kujikita kwenye mambo ya simba na Yanga ,
Vichekesho ni pale watu wa upinzani badala ya...
Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo.
Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani?
Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli.
Me ni mwana CCM ili siwezi kufurahishwa na ushindi wa wizi na kunajisi democracy. Tushindane Kwa sera na vyama vingine...
Kama Mh. Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka hadharani kuwa hata watanzania wakipigia kura vyama vya upinzani CCM ndio itaunda serikali, watanzania tutegemee nini katika chaguzi zijazo?
Na katika maneno ya Nape ambayo yamekuwa summarized katika yale aliyosema Samia katika uchaguzi wa 2020, je...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi kutokubali kununua vocha kwa bei tofauti na iliyoandikwa kwenye vocha hizo ambayo zimeelekezwa na Serikali.
Waziri Nape ametoa kauli hiyo tqrehe 18 Julai akiwa katika Kisiwa cha Lyakanyasi...
Huu ni ukweli ambao kama Nape angeutafakari basi angekuwa ana heshima kubwa sana kwa Watanzania na kuepuka kutenda au kuongea mambo yenye kuleta karaha kwa wananchi. Nape katika maisha yake yote ya nafasi za uongozi hajawahi kuteuliwa kwa sababu ana uwezo wa kuwa kiongozi, bali ni kwa sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.