Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo
nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka Wazazi kutowaacha Watoto wao kutumia zaidi mitandao ambapo si salama inapelekea kuharibu kizazi hiki.
Amezungumza hayo wakati akijibu hoja za Wabunge zilizotolewa katika uchangiaji wa Bajeti ya Wizara hiyo...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 27, leo Mei 16, 2024 ambapo pamoja na Maswali na Majibu, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika kukamilishwanl ili kupewa lesseni.
Kauli hii imekuja kutokana na...
Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao.
Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka...
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu hawajakamilisha masharti, na kama wakikamilisha basi wataruhusiwa kutoa huduma nchini.
Msikilize hapa
====...
access to information
digital rights 2024
freedom of expression
haki ya kuwasiliana
internet outage
internet outage tanzania
mtandao
napenape nnauye
starlink
Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo irejee kwa 100%
"Kazi Inaendelea vizuri. Mpaka mchana wa leo Tarehe 15/5/2024, Huduma za Internet...
Salam Wakuu,
Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika.
Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar
Tumsikilize Rais Samia mwenyewe...
Ama kweli ujinga hauondolewi na taji/cheo (the crown does not change the mind). Nape ni mfano wa mtu mwenye cheo lkn mjinga.
Kauli kwamba "Lisu alikimbia nchi halafu Rais Samia kamrudisha",...." rais karuhusu maandamano" ....ni kauli zinzothibitisha jinsi Nape asivyo na uelewa wowote kuhusu...
Dhana ya makabila na ukabila huwa inafanyiwa upotoshaji kwa makusudi au kukosa uelewa hasa na wanasiasa kwamba watu kutambuana kwa makabila yao, kusemwa kwa makabila yao na kufurahiwa kwa makabila yao ni makosa makubwa au dhambi.
Huu ni upotoshaji mbaya sana, kote duniani kuna nchi nyingi tu...
Tumelalamka wizi wa mitandao ya simu especialy kuhusu internt data. hakuna hatua wanayochukuliwa kurekebisha wizi huu. Unaweka data , muda mwingine bila kuitumia unakuta imeisha. Ukiwapigia simu customers care nobody responds.
Nape unafanya nini ofisini?
Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni.
Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea.
Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia?
Kama hakuna basi ata...
Hii ndio sababu ya Chama cha Mapinduzi ccm kutapatapa.
Kiukweli ni kuwa ccm haina tena kitu cha kuwadanganya wananchi cha kusema inaeneza.
Siasa za hadaa na ahadi za uongo zimekuwa ni zile zile kwa miongo kadhaa.
Baada ya Nape Nauye na sera yake ya kujivua gamba ambayo kiasi fulani ilileta...
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.
Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4.
Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha...
Kiukweli nampongeza sana Rais Samia Suluhu Hassan, matusi anayotukanwa na watu wa Chadema huwa yananiuma sana, watu wanatukana utadhani wanatukana wahuni wenzao, heshima ya Rais iko majaribuni kwa sababu ya wahuni waliopewa nafasi ya kujieleza.
Ukienda kule mtandao wa X kuna yule meya wa zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.