nape

  1. J

    Polisi: Bastola ya Nape Nnauye iliyoibwa nyumbani kwake Kawe Beach imepatikana mkoani Mbeya

    Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam imesema silaha ya mbunge wa Mtama mkoani Lindi iliyoibiwa kupitia dirishani nyumbani kwake Kawe beach jijini Dar es salaam imepatikana. Silaha hiyo aina ya bastola ikiwa na risasi 14 imepatikana mkoani Mbeya baada ya ushirikiano wa polisi wa mikoa hiyo...
  2. Nape: Ukusanyaji wa kodi ni taaluma ila Serikali imeacha kutumia wenye taaluma inatumia task force ambao kazi yao ni kuua biashara tu

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi. Mafanikio yanayofurahiwa sasa kwenye mapato ni ya muda mfupi lakini itafika wakati hakutakuwa na cha kukusanya. Asema...
  3. M

    Nape Nnauye: Tuhangaike kujenga mifumo imara na siyo kutumainia mtu mmoja

    Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo. 1. Kwanza anashangazwa na kwamba ndiyo kwanza miaka mitano ya muhula wa pili wa utawala wa Rais Magufuli umeanza halafu watu wanaanza kuzungumza ya baadae, wakati haya waliyoomba...
  4. J

    Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

    Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti. Nini kimewatuliza? Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza...
  5. F

    Kweli " sometimes politics is unpredictable game " , January, Nape, Ridhiwani na Kigwangala hawako kwenye Baraza la Mawaziri towards 2025!!?

    January Makamba, Mwigulu Nchemba,Nape Nnauye, Ridhiwani Kikwete na Hamis Kigwangala ukitazama vizuri ni baadhi ya vijana wa CCM ambao ama walikuwa "wanaandaliwa" au "kujiandaa" kutoa uongozi mkubwa kwa Taifa letu katika siku zijazo . Nasema hivi nikizingatia " generational succession plan" ya...
  6. TANZIA Diego Maradona afariki dunia

    Mwamba hatunaye tena. Alikuwa na miaka 60. Masikitiko makubwa. Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo. ----- Wasifu Wa Hayati Maradona ----- Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa, Argentina ilijivunia kipaji cha kipekee, madoido ya ajabu akiwa uwanjani, maono na kasi vilivyovutia...
  7. J

    Nape Nnauye: Niliomba Ubunge na Mungu ndiye mpaji, amenipa!

    Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu. Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa. Maendeleo hayana vyama!
  8. U

    Bashe & Nape Watinga Bungeni Dodoma kwa Kishindo

    Kumekucha Dodoma Makamanda wa CCM Wakutana Uso kwa uso Dodoma
  9. J

    Uchaguzi 2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

    Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika. Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge...
  10. J

    Uchaguzi 2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

    Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye. Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani...
  11. J

    Hii tabia ya Wanasiasa kujibishana na polisi isiachwe iote mizizi. Alianza Malima, Kigwangalla, Nape, Lissu na sasa Mbowe

    Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii Sheria bila Shuruti kwa sababu mabishano kati ya Polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema. Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani...
  12. J

    Uchaguzi 2020 CCM itumie vijana kunadi Ilani na Sera zake. Hawa akina Mwigullu, Nape, January na Kigwangala wakati "umeshawatupa mkono"

    Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi. Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi...
  13. J

    Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

    Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao. Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
  14. J

    Uchaguzi 2020 Nape Nnauye: Msinilaumu mimi, Sheria ya kupita bila kupingwa ilikuwepo kabla sijawa Mbunge

    Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa Mbunge. Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu tu, ametweet Nape. My take: Nape yuko sahihi yeye ni mnufaika wa sheria dhaifu. Maendeleo hayana vyama!
  15. Uchaguzi 2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

    APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea pekee wa jimbo hilo. Pia soma => Uchaguzi 2020 - Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa...
  16. Uchaguzi 2020 Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa Jimbo la Mtama, mgombea CHADEMA alikamatwa jana huku ACT-Wazalendo wakiwa hawana mgombea

    Mgombea wa CHADEMA alikamatwa jana na watu wa TAKUKURU na kwa mujibu wa Nape Nnauye ni kuwa ACT-Wazalendo hawakuweka mgombea kwenye jimbo la Mtama. Ofisi ya Mkurugenzi imepigwa kofuli. Nimeshangaa kusikia kuwa Membe alishindwa kuweka mgombea ndani ya Jimbo analotoka.
  17. J

    Nape: Hata kama jina langu litakatwa sitakufa njaa kwa sababu nina elimu ya uhakika

    Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika. Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo...
  18. J

    Nape: Uchaguzi ukiisha wakubwa tunakaa na kumalizana ila wapambe ndio hutaka kutoana roho

    Aliyekuwa mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ameandika katika akaunti yake ya twitter kuwa uchaguzi ukiisha wakubwa hukaa na kumalizana ila kazi inabaki kwa wapambe ambao hupiga mikelele kiasi cha kutaka kutoana roho. Nape anasema " Kuna maisha baada ya Siasa hivyo tupende na kuchukia kwa kiasi"...
  19. Maisha ya Nape CCM Ni sawa na maisha ya digidigi porini

    Nape inabidi aishi kwa kujipeneekeza tu ndani ya CCM. Akina Nape na vijana wengine hawawezi maisha nje ya CCM. Ni watu dhaifu sana.kwa kifupi sana,maisha ya Nape yako hivi. Hajiamini,hajui anatakaga kufanya Nini CCM. Alijaribu kumbugudhi fisadi Lowassa,Katibu Mkuu wa CCM wakati huo Makamba...
  20. Uchaguzi 2020 Nape Nnauye, Uropokaji wako unakuponza sana. Aahidi kupiga watu Mabuti

    Unapomwambia PM kwamba Usalama wa taifa ubaki huko huko DSM kwamba ninyi mna vikosi vyenu una maana gani? Hivi sheria ya vyama vya si inazuia kua na vikosi vya ulinzi? Huu sasa ni sawa na ujangili ikiwa hivi mikosi haitakiwi halafu wewe unavyo. Acha kuropoka, kila mtu akisema ana kikosi chake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…