Awe na sifa zifuatazo
Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
Awe Mkristo
Awe tayari kupima hiv
Awe anaishi dar es salaam
Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
Sifa zangu
Nina miaka 33
Kazi; duka kariakoo
Sina mtoto
Elimu bachelor
Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo
Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula
Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe mweusi, wala mnene sana, Mkristo itakuwa vizuri hata akiwa Dini nyingine sawa ila akubali kuolewa na...
Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
Wakuu nimesomea political science and public administration specialized in international relations and diplomacy. Natafuta nafasi za internship; nafikilia JNICC. Je utaratibu wa kuomba internship jnicc upoje ?
Habari ndugu zangu.
Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu.
1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo;
2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33;
3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA
Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina hati halali.
Dalali anayejua soko la viwanja Bukoba na anaweza kupata mteja haraka awasiliane nami...
Za siku nyingi wakuu, kama kichwa kinavyojieleza ,
Natafuta office space sqm 15 hadi 25 ambayo ipo vizuri kidogo na angalau iwe na parking , biashara ni consultation budget yangu 500,000-700,000 mwisho, mwenye msaada anichek chap tuone tunafanyaje,, maeneo pendwa ni posta, masaki, kijitonyama...
Kama uko na ndugu au wewe mwenyewe tuwasiliane...
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Update: Nimepata 5 interview kesho... Nitatoa mrejesho.. Asanteni sana kwa ushirikiano,🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako
Habarini Wakuu,
Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi.
Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10.
Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company .
Au mtu mwenye hoby kama yangu.
So naishia kugairi kila mara
Imagine sijafika hata BURUNDI tu.
Kusafiri mwenyewe naona ni Risk sana hasa nchi za ugenini.
Tuanze na nchi za Africa kwanza
Mawazo tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.