Habari.
Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani.
Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1.
Mkataba ni mwaka...
Jamani hali ngumu,
Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection.
Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali.
Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au?
Niko Dodoma mjini.
Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako...
Habari wana JF
Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com kwaajili ya CV yangu.
Asanteni sana!
Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting.
Naomba suggestions.
Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam.
Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu.
Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati...
Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja.
Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango...
Nimekuwa nikilitafakari jambo hili kwa muda sasa kuhusu ni nini maana ya kweli linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha. Sio kuhusu uzuri, umri, au mambo ya muda mfupi. Ni kuhusu kujenga kitu cha kudumu na chenye maana.
Ninachotafuta ni mtu mwenye maadili thabiti, moyo wa upendo, ukomavu wa...
Habari zenu wadau,hasa wakazi was Arusha. Naomba msaada mwenye kujua,natafuta single self budget 80k isizidi 100k maeneo ya moshono,nikipata nyumba ikiwa mpya,ina geti itakuwa POA zaidi
Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu,
Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa pili.
Natafuta Nyumba ya kupanga 1 Bedroom ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko.
Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko...
Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
Habari Member wa Jf
Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango
( Metrology and Standardization)
Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing;
Pia nina uzoefu katika field zifuatazo
-Calibration of measuring...
Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga.
Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema...
Mimi ni binti wa miaka 24, nina degree ya Information systems Management. Natafuta kazi nina ujuzi wa computer (word, power point na excel). Mchapakazi, msikivu na ninaependa kujifunza. Utanipata kwa email hii: kimishalilian@gmail.com. Asante.
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto
Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.