Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Mkazi wa Kigamboni. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani [ procurement, logistics and supply chain management]
Kutokana na changamoto za kimaisha imenibidi kutafuta kazi na siyo kuajiliwa tenah, hivyo nilikuwa naomba kazi, mwenye...
Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo
Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
Natafuta kazi za viwandani ,mgodini au zingine zinazoendana na taaluma ya chemistry ni mhitimu wa Shahada ya sayansi katika chemistry na Biology ( Bachelor of science) popote nafanya kazi Tanzania au hata nje ya Tanzania
Hello mimi ni binti wa miaka 23 nimehitimu chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka jana 2024 Bachelor of Commerce in Accounting. Mimi kama kijana nahitajii kazi ili niweze kutimiza ndoto zangu maana saizi nipo tu nyumbani roho inaniuma sana naombeni msaada wenu kwa atakayeguswa na hili.
Asanteni...
Habari wakuu
Mimi ni ke umri miaka 25, natafuta kazi yoyte halali ndani ya Dar, naishi Kigamboni, nina uzoefu na kazi ya uwakala na sales. Nina Nida, TIN na Certificate... Naomba msaada wenu jua ni kali mno🙏
Habarini za muda huu, nina umri wa miaka 26, jinsia me, napatikana mwanza, nipa hapa kutafuta kazi, mimi ni clinical assistant (CA) Nina kila kitu, leseni hai na vyeti vya taaluma, nina experience ya kazi kwa muda wa miezi 8 nikiwa dispensary, natanguliza shukurani
Habarini ndugu zangu
Nipo hapa natafuta kazi yoyote viwandani, ofsini au mashirika yani popote pale penye kazi halali ya kutumia nguvu au akili, niko kwenye hali ngumu sana ya kimaisha, niko kwenye kipindi kigumu sana na kielimu nina degree ya Geography na Environmental studies niliyomaliza...
Naitwa Jerald, nina miaka 26. Nipo Dar es salaam, natokea mkoa wa Mwanza. Natafuta kazi yoyote halali iwe ulinzi, dukani au usafi.
Nina elimu ya kidato cha sita.
Jamani hali ngumu,
Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection.
Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali.
Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au?
Niko Dodoma mjini.
Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako...
Habari wana JF
Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com kwaajili ya CV yangu.
Asanteni sana!
Habarini ndugu zangu, kwa majina naitwa Nuru, mkazi wa Dar es salaam, Kimara Korogwe.
Natafuta kazi ya dukani, nina uzoefu nayo, nimefanya sehemu tofauti tofauti. naombeni mnisaidie ndugu zangu.
Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
Habari Member wa Jf
Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango
( Metrology and Standardization)
Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing;
Pia nina uzoefu katika field zifuatazo
-Calibration of measuring...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.