Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF.
Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja...
Hello JF family.
Nakuja mbele zenu ndugu zangu mnisaidie kibarua chochote kile ili nipate kusogeza siku zangu za kuishi hapa duniani bila kuwa tegemezi wala kero kwa wengine.
Sihitaji kazi ambayo itakuwa na mambo mengi, nahitaji kibarua cha kuniwezesha kumudu tu gharama za Chakula na sehemu...
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa BSc. Biotechnology and laboratory science mwaka huu kutoka Sokoine University of Agriculture (SUA).
Natafuta kazi ata nje ya taaluma yangu
Kwa mwenye connection naomba msaada🙏
Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
Ndugu zangu natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao na mdf bord....
Ni mzaliwa wa Tanga ila kwa sasa nipo Dodoma.
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. kikubwa maelewano
Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam.
Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi .
Nitashukuru sana kwa msaada wako.
Habari Wana JamiiForums Mimi ni mkazi wa Dar es salaam ila kwa Sasa naishi Tunduma.
Natafuta KAZI YOYOTE katika taasisi binafsi mfano shule,kampuni ya mabasi,clearing & forwarding company na hata Usimamizi wa biashara.Elimu yangu ni UHASIBU yaani Nina Bachelor of education in Commerce and...
Salaaaam wana JamiiForums
Habari wakuu nina uhitaji wa kazi au nafasi ya uhasibu..
Nimehitimu shahada ya bank na fedha kutoka IFM.. 2023
Nimefanya intern ya uhasibu, kwa miezi nane kwenye kampuni ya madawa hapa dar es salaam, hivyo nina ujuzi angalau wa kihasibu kwenye kampuni.
Kazi nilizokuwa...
Hello everyone I have a Bachelor degree of Art with Education specialized in English and Kiswahili from University of Dar es Salaam
Nipo Dar es Salaam natafuta kazi ninao uwezo wa kufundisha na uzoefu madarasa ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Kwa mawasiliano 0710358330...
Elimu: shahada ya uuguzi.
Umri: 31
Jinsia: Me
Location: Dar es salaam
Nina uzoefu wa kutosha wa kuhudumu, naombeni kazi wakuu.
Niko full licenced.
Mawasiliano yangu.
0694029955 / 0718605934
Email;omaryabdallahram@gmail.com
Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka...
Habari zenu kwa mara nyingine tena ndugu zangu wa JamiiForums wote mko salama salimini.
Naitwa bina nina
Miakai: 29
Elimu: 7
Jinsia: Mwanaume
Natafuta kazi ya kusimamia shamba, kiwanja au Nyumba vyote kwa pamoja ikiwemo kuvifanyia usafi na utunzaji na kwa mkoani mbali na nilipo mimi nakuja...
Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika Bwana!? Najua mko katika mahangaiko.
Natafuta kazi zozote katika ukanda wangu huu wa Kanda ya ziwa, Nina ujuzi aina mbalimbali kama kazi za nje!? Kazi za nje kufyeka nyasi kulima nyasi, kukata miti na zozote zile za nje?
Pia kama una connection...
Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri
Mawasiliano 0624-137476
E-mail:faidhak6@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.