natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Saliboko

    Natafuta kazi

    Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya. Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania. Kwa sasa nipo kibaha.
  2. N

    Natafuta kazi ya civil technician

    Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia miradi ya tarura na tanroad mkoa wa kilimanjaro.Kwa maelezo zaidi cv yangu ipo inajieleza,msaada...
  3. Granite

    Civil Engineer natafuta kazi, HR & Project Managers Naomba Msaada

    Nakuja kwenu kwa Mara nyengine nikiwa na maombi ya kupata fursa ya kushiriki katika tasnia ya Ujenzi nikiwa ni kama Mhandisi wa Ujenzi, matamanio yangu ni kutumia ujuzi na Elimu yangu katika kuongeza thamani ya Kazi za Kampuni au taasisi, kushiriki katika kuhakikisha malengo yaliyowekwa na...
  4. mandingo 94

    Natafuta kazi za viwandani

    Habar za majukumu wadau kama nilivyo eleza apo juu mim ni mkazi wa dar kitunda natafuta za viwandani hata kibarua mim na fanya msaada wenu 0716527686
  5. C

    Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

    Salamu nyingi kwenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
  6. Sirai

    Natafuta kazi yoyote nimesoma nursing midwife degree post intern Ila sijapa leseni

    Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado. Nina ujuzi wa computer kiasi Nmefundisha tuition Nimechoma chips Nahitaji kazi yoyote naomba Wana jamii mnisaidie Tel 0689052541
  7. Rashid Ally Masaho

    Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship

    Habari zenu wakuu, Mimi ni graduate mechanical engineer. Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
  8. M

    Natafuta kazi yoyote halali

    Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa. Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali. Nipo na hali mbaya sana wakuu.
  9. run CMD

    Naomba msaada wako natafuta kazi Bsc Computer Science

    thread closed
  10. AfricaUnited

    Msaada: Natafuta kazi au kujitolea ya Assistance accountant

    Habari wana jamvi. Nina mtoto wa dada wa kiume anamiaka 28 , amemaliza degree ya accountancy mwaka 2017 , nilimuingiza kwenye biashara , sasa anataka pata ajira biashara ngumu. Hana uzoefu wa kazi ya uhasibu yoyote ,ila ni muelewa wa haraka na yupo tayari kujitolea mkoa wowote tanzania...
  11. C

    Natafuta kazi ya Ualimu ndugu zangu

    Habari za saa hizi ndugu zangu, Aise! Maisha ni changamoto kubwa sana kwangu kwa sababu ya kukosa hata kodi ya nyumba. Nilikuwa nasoma chuo Dar es Salaam. Chuo nimemaliza natafuta kazi. Elimu yangu: BA-ED (Bachelor of arts with Education). (Nimemaliza mwaka huu nasubiri transcript). Masomo ya...
  12. Mkogoti

    Natafuta kazi ila sina aina yoyote ya ujuzi

    Nipo napatikana Mara - Musoma kwa Mawasiliano zaidi nicheck 0674615883 nyote mnakaribishwa NOTE: Nikisema sina ujuzi wowote nifaamike hivyo mwenye kuniitaji ili niwe napata angalau ugali wangu wa kila siku anione, nipe kazi yoyote ila sio ya wizi,ujambazi wala utapeli, 🙏🙏
  13. opondo

    Natafuta kazi nina degree ya Ualimu masomo ya Physics na Chemistry

    Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu. Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12... GPA ya Chuo...
  14. rabson john

    Ninatafuta kazi ya Udereva

    Naitwa RABSON JOHN Naishi DAR ER SALAAM MABIBO NINA MIAKA 27 Mimi ni kijana ambae nina fani ya Udereva. Pia nina uzoefu wa Sales & Marketing nimewahi fanya kazi na makampuni mengi hapa Dar er Salaam Nina leseni ya udereva yenye madaraja haya. A.A2.B.C1.C2.C3.D.E pia napenda kuwaomba kazi ya...
Back
Top Bottom