Habari ya leo wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume,
umri wangu miaka 29 .
Nna mke na mtoto 1,
Naishi Dar Es Salaam
Elimu yangu kidato cha nne
Nimejitokeza hapa kuomba kazi ya sales and marketing ama usimamizi wa biashara na masoko.
UZOEFU WANGU
Mwaka 2013 nilianza kazi ya kusajili laini kampuni ya...
Habari wana JF I hope mpoa.
Mimi mi muhitimu wa diploma ya account mwaka jana nilijaribu kuomba mkopo nienndelee na bachelor ila nilikosa. Naomba kama mwenye kunisaidia nipate sehemu hata ya kujishikiza hata kujitolea ili mradi nisikae nyumbani huku nikijaribu mwaka huu kuomba tena mkopo vyeti...
Natafuta kazi yoyote halali.
Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
Nafikiri ukiacha Shaaban Robert na Kezilahabi huyu, bwana naye yumo kati ya waandishi magwiji. Baadhi ya kazi alizoandika ni.
1.Mzimu wa watu wa kale
2. Kisima cha Giningi.
3. Duniani kuna watu
4.Siri ya sifuri
5.Mke mmoja waume watatu
6. Mwana wa yungu hulewa
7. Kosa la bwana Msa.
Habari wana JF.
Mimi ni kijana umri miaka 27 ninaishi Ubungo,Dar es salaam Tanzania
Nina degree ya library and information studies natafuta kazi ya ukutubi katika shule au vyuoni pia ninauzoefu wa kazi hii.
pia ninatafuta kazi ya kutunza kumbukumbu (record management) katika ofisi yeyote au...
Habari Wana Jf
Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania.
Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza...
I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age
I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam
I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment.
I'm ready to work any place...
Habari, Mimi ni Binti Nina miaka 24 Niko arusha. Ninatafuta Kazi. Niko tayari kufanya Kazi yoyote halali eneo la Arusha.
Nina elimu ya chuo kikuu, kupitia kozi ya maendeleo ya jamii.
Nina uwezo wa kuwasiliana vizuri, kufanya Kazi kwa usimamizi Mdogo au bila usimamizi na kuleta matokeo mazuri...
Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo.
Natafuta kazi yoyote.
Kazi ya halali.
Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp)
+255755938804
+255714540040
Wakuu salam,
Mimi ni mhitimu wa chuo mwalimu wa sekondari kutokana na uhaba wa ajira nafanya Kazi za ujenzi kama kibarua. Nashukuru angalau sikosi chochote nimeridhika na Kazi ninayofanya ingawa kipato hakitoshi sana.
Naomba mwenye connection anayeweza kunisaidia kupata kazi yoyote ya usiku ya...
Wakuu habari za saizi! Mimi ni kijana wa kiume, mhitimu wa diploma ya ualimu lakini bado sijafanikiwa kupata kazi. Hivyo naomba kazi yoyote ya halali ya kuniwezesha kuendesha maisha yangu.
Iwe niliyosomea au yoyote nitakayoweza kuifanya. Mimi naishi Dodoma. Kama kazi ikipatikana mikoa ya...
Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na serikali yetu
Kwa majina naitwa JOHN E BENDERA
Ni kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa.
Ni mchezaji wa mpira pia, ligi daraja la pili Tanzania.
Ndoto zangu kubwa niliziwekeza katika mpira, lakini naamini mnajua mpira wetu apa nchini, si lazima...
Habari wakuu,
Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
Habari zenu wana jf
Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu
Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula
Kimakazi nipo dar njoo inbox
Habari wakuu,
Kijana wenu PHP & JavaScript developer anatafuta kazi.
Nimesoma Computer science chuo kwa kipindi cha mwaka mmoja,sikuweza kuendelea kwa sababu ya kukosa mkopo.
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa dar kwa malipo ya kiasi chochote niweze mudu gharama za maisha.
Unaweza...
Habarini wakuu,
Elimu yangu ni form six
Jinsia ni ke
Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali
Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level
Kufundisha primary /nursery
Upishi pia naweza
Kaunta
Hata uhasibu naweza mahesabu
Kazi yoyote halali naweza kufanya...
Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba.
Nilikuwa kwenye moja ya...
Habari za wakati WanaJF,
Kwa majina naitwa Annette nina shahada shahada ya sosholojia kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma.
Nimekuja mbele yenu nikiomba kazi yoyote Ile hata nje ya Taaluma yangu au sehemu yoyote ile ya kujitolea nipo tayari.
Natanguliza shukrani zangu.
Mimi ni mtaalam wa maabara (lab assistant), mwenye uzoefu wa miaka 3 na kazi, natafuta kazi katika kanda ya kaskazini, naishi Arusha. Vigezo vyote ninavyo pia nina lessen ya kudum (ERP) nahitaji mtu aliye serious na kazi yake mwenye kufuata ushauri wa mtaalamu.
Namba ya simu 0625318808
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.