natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Natafuta kazi yoyote halali

    Habari wakuu,Naitwa Geofrey nipo morogoro mjini,NATAFUTA KAZI YOYOTE mahalo popote,ni mtaalamu na mzoefu wa mifugo na kilimo, na afya ya binadamu. Elimu yangu ni kidato Cha sita na chuo. Course animal health/daktari wa mifugo,pia c.o na masuala ya kilimo.contact:0689339355
  2. Hans wilson

    Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1, C2, C3, D, E

    Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1,C2,C3,D,E NA NAUJUA UFUNDI VIZURI NA NIMESOMA VETA NANIMEMALIZA KIDATO CHA NNE NANIMEFAULU. KWA MAWASILIANO (0682600567). BARUA PEPE , hanswilson222@gmail.com.
  3. einstein tesla

    Natafuta kazi yoyote au ufadhili wa masomo

    Mimi nina umri wa miaka 23 mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili Nipo dar-es-salaam Nimepitia jkt Nina ufaulu wa division I-9 Niko pia vizuri kwenye kutumia computer Nilikua naomba kazi yoyote itakayoniingizia pesa maana maisha yamekuwa magumu nimesimama masomo na pia changamoto ya ada...
  4. C

    Natafuta kazi, Nimesoma ualimu wa Historia na Kiingereza

    Nimesoma degree ya Education.(Ualimu). Nimesoma ualimu wa Historia na Kiingereza. Natafuta kazi ya ualimu au kazi yoyote ile ambayo ni halali. Niko tayari kwenda mkoa wowote ule hata Kigoma.
  5. G

    Msaada natafuta kazi nina Elimu ya Certificate in Community health

    Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO) yanayoshughulikia masuala ya kijamii hata Kwa kujitolea kwa ujumla naweza fanya kazi kama social worker pia...
  6. M

    Natafuta kazi, nina Diploma ya Banking and Finance

    Habari! Naomba mnisaidie kupata kazi wana jf, nimehitimu diploma ya masomo ya banking and finance lakini sijafanikiwa kupata kazi, ninaweza kazi za bank, assistant accountant pia nimekuwa cashier Kwa wakala wa Mabasi yaendayo kasi DAR (DART) Nipo DAR ES SALAAM naomba mnisaidie kupata kazi...
  7. Mary97

    Natafuta kazi za ndani Kigamboni

    Habari zenu. Naitwa Mary, Miaka 25. Elimu yangu cheti. Naishi karibu na cornerstone (kibada). Natafuta kazi za ndani za kwenda na kurudk huku Kigamboni. Kupika, kufua, usafi, kutunza watoto naweza. Mshahara angalau laki, nauli juu yangu. Kama ulipo nauli inazidi 400/= utanisaidia nauli. Siku...
  8. S

    Natafuta kazi nina Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari

    Habari Ndugu Zangu, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam. Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx. Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na...
  9. Isaya mwakyoma8

    Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha nne

    Jamani nimekuja kwa mara nyingine tena . Hali imekuwa tete natafuta kazi. niko tayari kufanya kazi popote elimu yangu kidato cha nne. Umri miaka 26 naishi Keko Mwanga. Kazi za awali nilizo wahi kufanya 1. Kuongoza mashine ya kusaga nafaka mahindi kwa miaka 7. 2. Nimekuwa afisa mikopo kwa...
  10. Depretty

    Natafuta kazi

    Habari, Nahitaji kazi maeneo ya dar, nina ujuzi wa mambo ya saloon(ya kike na kiume) , lakini pia natafuta kazi za kuuza duka (languo, vipodozi, nk) kazi ya usafi, usaidizi wa ofisini, nyumban kwenda na kurudi) usaidizi wa shuleni hata upishi au kusaidia tu wale watoto na kazi zingine ambazo...
  11. Imaniyanguitaniponyatu

    Natafuta kazi Dodoma

    Habarini wakuu, Mimj kijana wa kiume, muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini. Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu. Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata...
  12. B

    Natafuta kazi yoyote mkoa wa Arusha

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa kiume natokea mkoa wa Arusha. Ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya Kazi yoyote halali kwa mkoa wa Arusha tupeane. Elimu yangu in Shahada ya Uhasibu na Nina uzoefu wa miaka 2 kwa nafasi ya uhasibu na miaka 3 kwa nafasi ya Afisa Masoko kwenye kampuni...
  13. GEM mama

    NATAFUTA KAZI ZA UTENDAJI

    Wanaforums wenzangu naombeni msaada niweze kupata kazi ya utendaji nimatamanio yangu nipate ajira ya kudumu hata utendaji tu ni miaka mingi natafuta kazi naishia kupata vibarua tu vya muda mfupi. Nina diploma(2013) na degree(2016) ya uhasibu toka TIA. Asante
  14. P

    Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha sita

    Habari mkuu! Za hukoo; Mimi nikijana wa miaka 23, naishi Dar es salaam, elimu yangu ni form six nilikuwa naomba msaada wa kazi kwako, nikusaidie katika kazi zako. Mungu akubariki
  15. M

    Mwalimu wa Literature na English Language natafuta kazi

    Salaam Jukwaa hili pendwa la JF-ajira. Ni miaka mitatu sasa tangu nimalize chuo kikuu X. Nimejaribu kupeleka barua za maombi ya ajira shule binafs bila mafanikio yeyote. Masomo yangu ni English &Literature. Kwa moyo wa unyenyekevu kabisa naomba kama kuna atakayeguswa anitafutie konekshen...
  16. K

    Natafuta kazi ya Maabara jamani Lab Assistant

    Tangazo hilo kama linavyojieleza wapendwa ninahitaji nafasi ya kazi. Nina miaka 28Yrs...mkazi wa Kahama Shinyanga...Nina ERP....Uzoefu upo wa kutosha tu kama miaka 5 tokea nimalize chuo 2016..Nina mke na mtoto mmoja ...0765 626 871. Natanguliza shukrani
  17. P

    Natafuta kazi ya kufundisha masomo physics na mathematics

    Naitwa Pastory Augustino Nipo morogoro Naomba kama kunamtu anafahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa anisaidie aisee, Level yangu ni diploma
  18. IbrahimTechNerd

    Wakuu natafuta kazi nina astashaada ya ICT

    Habari wakuu, Nimekuja mbele zenu kuomba msaada wa ajira. Mimi ni kijana wa miaka 23, nina astashaada ya ICT lakini natafuta kazi yoyote ya kwenda na kurudi ( kasoro kazi ya kuuza bar tu ), Pia nina ujuzi wa Kutoa password za simu za button Kutoa frp lock kwa android phones Kutafasiri movies...
  19. MrMaro

    Natafuta kazi ya marketing/ afisa mikopo/ procurement

    Habari wakuu, Mimi ni Kijana wa kitanzania Mwenye umri wa miaka 29. Banda ya kumaliza kidato cha nne nilijiunga na chuo cha utumishi wa umma TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE, TABORA CAMPUS. Nilisoma kozi ya Ugavi na manunuzi kwa ngazi ya diploma Lakini kutokana na changamoto za kifamilia...
  20. K

    Natafuta kazi ninaweza kusoma, kuandika na kuongea lugha ya Kireno

    Habari ndugu zangu, Hope mko poa na majukumu ya kazi. Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno. Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina...
Back
Top Bottom