Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa.
Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ...
Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY.
nimespecialize kwenye...
Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta kazi part time job, ambayo nitaifanya baada ya kumaliza vipindi vyangu vya chuo na ambayo nitaifanya weekend, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na chuo changu Kiko dar es salaam posta.
Tafadhali wanajamiiforums nisaidieni
Habari za humu wana JamiiForum,
Naitwa David (23), mkazi wa Arusha kwasasa Dar es salaam, kimara
Nimhitimu wa diploma kwenye biashara na utawala.
Dhumuni la kuandaa post hii kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu nahitaji kazi yoyote halali (kuuza duka la nguo, vyombo, vifaa vya...
Habari!
Naitwa Musa, umri ni miaka 24 ni graduate wa information technology katika level ya degree. biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo yake kwa kupata wateja basi tunaweza...
Habari WanaJF,
Ni kijana wa miaka 24 nakaa tabata-bima Dar-es-Salaam. Ni mhitimu wa kozi ya ualimu katika chuo Cha mtakatifu Augustine SAUT-MWANZA level ya bachelor degree
Natafuta kazi ya kuuza bar hasa kitengo Cha counter au kuuza duka la vifaa vya umeme,nguo,simu,vipodozi,vitu vya...
Habari za majukumu ndugu zangu!
Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi.
Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kupata ajira. Kilichotokea ni kwamba mradi niliokuwa nafanya kazi ulifika mwisho na shirika...
Habari wakuu!
Mimi Ni mwanafunzi(22) wa mwaka wa Pili chuo Fulani hapa Dar es salaam!
Nasoma Bachelor Degree in Gender and development.
Kutokana na Hali ya maisha kuwa mbaya Sana kwa upande WANGU,
Nilimeamua kuja mbele yenu ndugu zangu, kuomba kazi yoyote ili niwe na chanzo chochote Cha...
Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa kitanzania ninaomba mwenye ndugu au hata mtu wa karibu ambaye anahitaji mfanyakazi iwe ni baby sister au hata house girl MAREKANI aniunganishe, Mimi nipo pia naongea Kiswahili na Kiingereza vizuri, maisha magumu sana jamani ,pia ajira ngumu sana kupata...
Ninaitwa Louis M Fussi Nina umri was miaka 24, Nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management kutoka chuo kikuu SUA. Ninaomba nafasi ya kazi, kujitolea ili niweze kuepukana na vishawishi vya mtaani.
Kuachana na degree pia nina leseni ya udereva.
Namba za simu 0712730570
Habari ndugu zangu,
Husika na kichwaa cha habari hapo juu natafuta kazi ata ya internship ili nipate japo pesa ya kujikimu na maisha.
Namba ya simu 0712730570
Email: louisfussi1999@gmail.com
Habari wanaJF!
Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 24. Nimehitimu 2021 shahada ya Usimamizi wa Mifumo ya Afya (Bachelor's Degree in Health Systems Management) ya chuo kikuu Mzumbe.
Kwasasa natafuta mahali pa kujifunza zaidi kwa vitendo. Interest yangu ni kwenye NGOs lakini hata nikipata...
Habari ya muda tena?
Jamani niliona ni vyema nikapita tena apa nitangaze tena.
Ninatafuta ajiri jijini Arusha iwe full time ama part time nipo. Nina skill katika matumizi ya computer, nina experience ya sales and sales representative, account, marketing na ninaweza kuwa personal assistant.
Naitwa Gabriel minde natokea dar es salaam Nina uzoefu na kazi ya udereva natafuta kazi ya udereva leseni yangu class A,A2,B,D,E,F Nina uzoefu na hii kazi nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni au mtu binafsi, naombeni kazi wakuu namba yangu hii apa 0689090019 nipo tayari kufanya kazi
Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2021. Elimu yangu ni ya kidato cha nne na matokeo yametoka nimepata div.1.7; A-tisa na B-moja ya Bible knowledge pekee.
Nimesoma masomo sayansi shule ya wavulana Marian iliyopo Pwani, Bagamoyo na nimeomba kujiunga chuo cha...
Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi '
Kwa mawasailiano zaidi
Ernest : +255628729873
Naomba ushirikiano wenu
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwanaume mchapakazi na muaminifu .Nina uzoefu miaka mitano hasa katika sekta binafsi kwenye kazi ya uhasibu haswa kwenye mambo ya kodi n.k. Nina uzoefu sana kwenye kazi zifuatazo:
●Preparation of payrolls
●cash management,
●Monthly filing of Vat Returns.
●Paye and...
Mimi ni binti nimesoma procurement na baadae nikasoma business management. Niko Arusha tafafhali kama kuna mtu ana kazi yake ama anamjua mtu anaetaka mfanyakazi usisite kunitaarifu. ARUSHA.
Habari za siku ndugu zangu pia poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.....
Niende kwenye Mada binafsi mimi nikijana wakiume mwenye umri wa Miaka 26 ,pia nimuhitimu wa Chuo fulani Ngazi ya cheti katika fani ya Uongozi na usimamizi (public administration and management) mwaka 2018, Pia nina ujuzi...
Heri ya mwaka mpya wakuu,Naitwa Geofrey wa Moro,kwa heshima na tahadhima kwa yeyote mwenye mapenzi mema aniunganishe na kazi yoyote,nina uzoefu wa kutibu na kuhudumia mifugo,kilimo,compyuta n.k mawasilianao 0689339355.
MUNGU AKUBARIKI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.