Habari wapendwa poleni na majukumu.
Wapendwa kijana wa kuosha magari anatafuta kazi.
Nina uzoefu na nina uwezo wa kuosha gari vizuri kabisha na kutumia mashine mbalimbali. Naishi dsm gongo la mboto ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote .
Nina uwezo wa kumshawishi mteja na nina uwezo wa...
Dear sir/madam
Natafuta naishi dar es salaam gongo la mboto natafuta kazi yeyote au kibarua cha kuendesha maisha
a) Nina umri miaka 24
b) Sijaoa
c) Taaluma yangu accounting & finance uzoefu wangu custormer cara na sales kwa miaka 3 pia nina uzoefu wa driving miaka 4
d) Nina uwezo wa...
Habari Madam/sir
Natafuta kazi hata kibarua cha kuendesha maisha yangu.
#Ninaweza kufanya kazi yeyote tofauti na taaluma nilizonazo
a) ninaumri wa miaka 24
b)Naishi gongo la mboto DSM
c) taaluma yangu stashahada accounting&finance nina uzoefu wa customer care , sales 3yeaes
d) nina...
Habari za za leo watu jf mm n mkazi wa Dar, Nina miaka 24 mwanafunz wa degree bachelor of Economics and int trade.
Niko China kimasomo, lakin kwasabb y corona, Bado tuko bongo turirud since 2020 niko naendelea n online studies.
Lengo la kuandika ni kuwa naomba kazi yoyote y kusimimamia mradi...
Habari ndugu zangu! wapambanaji na watafutaji wenzangu..kweli kazi ni changamoto sana kupata..na hasa kama auna connection utasota sana..itokee tu mkono wa mungu ukuguse!
jina langu naitwa James Patrick.nina miaka 26 na naishi jijini dar es salaam..nimekuja tena mbele yenu wana jamii...
Habari Za MAJUKUMU wanaJF,
Naombeni msaada kwa mwenye connection ya kazi kwenye makampuni ya MABASI ya mikoani au Mwendokasi (kondakta/Mkata ticket ofisini au Agent).
Elimu yangu KIDATO CHA SITA.
Nipo Dar es Salaam.
Asanteni
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Science with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction...
Habari wakuu!
Mimi ni MWALIMU wa shule za msingi na awali,
Natafuta kazi kwenye shule hizo:-
1.nina DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION
2.nina CERTIFICATE IN INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY.
3.NI MWALIMU WA MZURI :-
*GEOGRAPHY
*KISWAHILI
*ENGLISH
*SCIENCE...
Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu
🙏🙏🙏
Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Mabibo, jijini Dar es Salaam natafuta kazi ya ualimu. Nina cheti daraja la III A nafundisha masomo yafuatayo:
Mathematics
Social studies
Civics and moral
Nina uzoefu miaka 5 katika shule za English Medium.
Mawasiliano yangu 0714954609 au...
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu ( Bachelor degree of accounting-IFM) ,Mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu.pia nina uzoefu katika application za MS Exel,MS word , MS PowerPoint, typing .
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level
Nipo dar es salaam pia naweza...
Habarini wapendwa poleni na majukumu.
MIMI NI KIJANA JINSIA YA KIUME MIAKA 27.
Natafuka kazi ngumu kama kupakia vifusi kwenye magari kama mchanga mawe n.k
Ujuzi nilionao :
*kutengeneza masai sandals (viatu vya kimasai)
*Pia ni operator wa excavator, wheel loader na buldozer
TUSAIDIANE HATA...
Ninaitwa Eliah Gwamaka. elimu yangu ni diploma ya IT. Pia nina leseni yenye madaraja C1, C2, C3, E na D.nina uzoefu wa kufanya Bolt kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Napendelea mkataba hata kama gari sio mpya.
Napatikana ukonga Banana Dar es Salaam.
Namba yangu ya simu ni 0686 574164.
Natanguliza...
Habari za wakati huu wanajamii?
Mimi ni muuguzi, jinsia Ke, umri miaka 28, naishi Mbezi beach Dar es Salaam, nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja.
Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali...
Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four
Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-:
Stationary miezi 6
Mashine za kusaga nafaka miaka 2
Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1
Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja...
Wasalaam ndugu zangu katika jukwaa hili...
Mimi ni kijana wa miaka 24 nipo mwanza manispaa ya ilemela ñaomba mwenye nafasi yoyote ya kazi sehemu yoyote na mahali popote nipo tayari kufanya kaz elimu yangu ni kidato cha nne nilibahatika kufika mpk kidato cha tano lkn sikuweza kumaliza kutokana...
Wadau kwema.
Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya..
Kazi nazoweza kufanya
Kazi ya sales
Storekeeper
Kusaidia fundi.
Kazi ya kusimamia mradi
Kazi ya usafi
Na kazi nyinginezo...
Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 nipo dar
Kwa miaka 10 sasa nimekuwa nikijishughulisha na Kazi za ukarani (tally clerk),operation manager, c&f agent na mtunza kumbukumbu za maghala katika makampuni mbali mbali
Kutokana na mifumo ya Kazi nilizowahi kufanya nimekuwa...
Habari,
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu.
Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya engineering (Nina upper second class GPA) na nina ufahamu wa juu kuhusu:-
1. PLC programming...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.