Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote.
Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2.
Natafuta kazi yoyote ya halali Kama vile kazi za viwandani, usafi maofisini/nyumbani ama yoyote ile ya halali
Nipo Dar es Salaam, maeneo...
Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Mathematics nimemaliza chuo Cha Ualimu tukuyu mwezi wa tano mwaka huu(2022).
Natafuta kazi naweza kufundisha na ninajituma pia.
Kwa mawasiliano 0757921398, napatikana Tabora mtaa wa mwinyi lakini naweza kufanya kazi popote nchini Tanzania.
Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa.
Nina ujuzi wa;
Diploma ya record management
Diploma ya music production
Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza.
NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa...
Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF.
Naweza kufanya member authorization.
Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika.
Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF.
Nina ujuzi wa kutumia computer.
Sikusoma...
Mimi ni binti miaka 26
Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani.
Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote 🧎🏻♀️🙏
Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote.
Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
Mimi ni binti nipo mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda.
Natafuta nafasi ya kazi yoyote hata duka ila nimesomea uuguzi, ila ninamatatizo ya masikio sisikii vizuri. Nimewahi kujitolea zahanati sehemu mbili.
Mawasiliano yangu 0621364039 ila ujumbe pekee na sio kupiga kutokana na matatizo ya masikio
Habari Wana JamiiForums!
Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya.
Jinsia: Kiume
Miaka: 23
Mahali Dar es salaam.
Elimu: Chuo Kikuu.
Nilichosomea...
Habari,
Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022.
Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI.
Natafuta kazi kwenye mashirika na taasisi mbalimbali zinazohusiana na taaluma yangu, nawaombeni wana JF kwa yeyote...
Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu katika masomo ya Geography na Kiswahili mwaka 2020.
Nimekuwa nikijaribu kutuma maombi shule mbalimbali...
Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika mambo ya ugavi.
Nimekuja kwenu kuomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi ili niweze kujikimu maana kila leo ni afadhali ya jana.
Kazi yoyote halali nitaipokea.
Ndugu zangu hadi kufikia hatua hii ninapitia kipindi kigumu sana. Kwanza kabisa mimi ni graduate wa Bachelor Degree in Accountancy, nina mwaka tangu nimalize nipo mtaani tu na umri wangu ni mkubwa zaidi ya miaka 30.
Kila nikiapply kazi mbalimbali zinazoendana na career yangu unakuta naenda...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha
Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti...
Natanguliza salamu,
Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne.
Naweza kutumia computer vizuri
Ninaujuzi wa Web design
Naweza kufanya kazi ya duka
Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
Habari ndugu zangu.
Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali.
Natanguliza shukrani
Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao uzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.
Ninao uwezo wa kutumia Computer vizuri na kuchapa document...
Habar zenu ndugu!!
Mimi ni kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya land survey nilikuwa naomba kama kuna kampuni yoyote inayojihusisha na shughuli za land survey nahitaji kupata mahali hata pa kujitolea.
Namba yangu 0699239068
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.