Natafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako.
Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote. Mimi nitapambana kutafuta wateja ninakojua mimi. Simu zako ziwe bei kitonga kweli ili zitoke haraka...
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza natafuta kazi nafasi yoyote kasoro za ndani, bar
Umri :29
Elimu: Shahada ya mambo ya Computer na ulinzi wa taarifa.
Mahali nakoishi: Tegeta -Dar
Jinsia: Kike
Tafadhali tusaidiane maana hali si hali.
Habari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es Salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ Sinza Mori.
Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya kazi kwa uhakika kabisa.
Sina meng ya kuandika ila mwenywe swali karibu na mwenye kazi karibu...
Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate in ANAESTHESIA ,nilikuwa trained pia BASIC LIFE SUPPORT kutoka EMAT.
Nina uzoefu wa miaka 2 kama...
Mambo vipi au niseme good evening.
Ninatafuta kibarua/kazi, mimi ni binti nina degree ya business management na ujuzi katika mambo mbalimbali.
Kama unamjua mtu au ofisi inahitaji mfanyakazi usisite kunishtua/kunieleza.
Weekend njema.
Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata.
Hivyo naomba kwa anaejua Viwanda au Kampuni zinazochukua vibarua vya wafanyakazi anielekeze walau nipate kazi yakufanya...
Habariii wakuu?
Husika na kichwa hapo juu natafuta kazii katika makampuni yeyote ya ujenzii wa nyumba au barabara nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote.
Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii Nina uzoefu wa miaka miwilii katika usimamizii wa barabara na ujenzii wa nyumbaa mwenye...
Habari wana jamii forum,
Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza .
Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
habari
wakuu ni matumaini yangu ni wazima kwa majina naitwa KELVIN GODFREY
jinsia ni mwanaume wa miaka 25, ni nimhitimu kozi ya kilimo na mifugo (diploma).
Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba wezekunipa ata kama ndo...
Habari,
Nipo chuo mwaka wa pili. Ninauhitaji wa ajira ambayo nitaweza kufanya kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni, ili niweze kuendelea na masomo yangu kuanzia saa 11 jioni.
Umri: 21
Course: Marketing management
Level: Degree
Mahali: Ilala, Dar es salaam.
Ndugu ni matumaini yangu ni wazima.
Kwa majina, naitwa KELVIN GODFREY, jinsia ni mwanaume wa miaka 25. Ni mhitimu kozi ya kilimo na mifugo(diploma).
Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba aweze kunipa hata kama ndo inaanza...
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa
Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.
Wenu katika kazi
PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Mimi Ni kijana wa miaka 26
Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology)
Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu
Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi
Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu...
Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote.
Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise.
Masomo yangu ni jiographia na uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.