Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu.
Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari
Contact 0712046672
Amani iwe nasi Watu wa Mungu.
Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua.
Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi.
Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana.
Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6.
Mbarikiwe...
Habari ndugu zangu!!
Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana.
Elimu:
Degree ya Computer Science
UWEZO
1. Programing (C++, Python, Visual basic)
2. Computer Mantainance and troubleshooting
3. Photocopy Mantainance and troubleshooting
4. Printer Mantainance and...
Habari za Mahangaiko Members.
Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu ni ya Form Six
Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi.
Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA.
Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
Habari za wakati huu Wana JF, naitwa bless nina miaka 24, elimu yangu kidato Cha 6. Natafuta kazi viwandani, supermarket au kampuni binafsi nina uzoefu na u- cashier yeyote ataeweza nisaidia nitamshukuru,, nipo DSM.
Greetings,
My name is Harrison Munuo, a 28 years old . A holder of a bachelor degree in Education(IT& Geography). I'm seeking for an employment opportunity on any field that my particulars fit.
I am energetic and open to learn new skills. I am willing to work in remotely environment and minimal...
Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi.
Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift.
Napatikana kwa number 0765607650 au email: jaelynebless@gmail.com
Ndugu wanafamilia wa Jamii forums, nawasilimu kwa jina la Jamhuri,
Maji yamenifika shingon mwenzenu, mim ni mhitimu shahada ya ualimu tangu 2016 , nimejaribu kupambana niwezavyo kutafuta ajira bila mafanikio.
Baada ya kuona ajira zinakuwa ngumu, nikatafuta kazi kwenye kampuni ya ulinzi...
Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa.
Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo nikajiunga na advance kwa tahasusi ya pcb hapo sikufanya vizuri kwani nilipata division three point 14...
Habari ndugu zangu naitwa Charles mimi naomba mwenye connection ya kazi/ kibarua cha halali anisaidie kuniunganisha kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nilikuwa nafanya biashara sasa kulingana na ya uchumi mtaji wangu umekata.
Nipo hapa kuwaomba ndugu zangu mnisaidie nipate kazi ili niweze...
Naitwa Edson Joseph malingumu natafuta kazi ya salon upande wa nail artist, pedicure & mancure.
Kwa sasa naishi nchini uganda ndo nako nafanyia kazi Ila naitaji kurudi nchini kwangu.
Nina uzoefu wa kutosha na hiyo kazi namba ya +255753255263 /+256708462740
Mimi ni mdada, mwenye uwezo wa kazi za receptionist, secretary, office attendant, Assistant administrator, Matron na pia ata storekeeper na hata mikoani naweza relocate Msaada
Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial.
Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM
Email...
Habari zenu wa ndugu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho.
Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
Hi,
Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira.
Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA.
Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli...
Naitwa Mudi mkazi wa Mbagala umri mika 30. Natafuta kazi au kibarua cha kufanya popote ndani au nje ya Dar kikubwa iwe ya uhakika na pia nimesomea Ualimu wa Masomo ya Sanaa Geography na History
Niko tayari kwakazi yoyote itakayopatikana iwe ni kiwandani au kampun au shule
Namba yangu ni 0693206150
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.