Salama wakuu,
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye mke na watoto wawili, nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kazi yoyote ile kujikimu mimi na familia yangu.
Elimu yangu ni "Bachelor of Business Adminstration". Yoyote mwenye kazi au connection ya kazi yoyote halali na yenye kipato basi nitakua...
Habari wakuu,
Naitwa Erick Bernard natafuta Kazi ya ualimu nimesomea early child hood.
Sifa zangu
Mpole na mwenye kuheshimu kila MTU
Mchapakazi
Ninafundishika
Hofu ya Mungu
ELIMU- degree ya early child hood.
Natanguliza shukurani wakuu.
Namba ya simu: +255 748 630 698
Pia naweza kufanya...
Habari za wakati huu wanajamii forum? Mi niko vyema kabisa!
Kwa mara nyingine tena, nakuja kwenu, lengo ni kutafuta fursa ya kazi yoyote halali.
Nina experience ya marketing and promo strategies kwa miezi kadhaa. Kuuza kwenye store za nguo, vyombo na vifaa vya electronic. Lakini pia ni...
Habari zenu Wakuu.
Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua.
Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kiasi chochote kulingana na uwajibikaji wangu watakavyoona.
Naishi Dar es salaam, Ni fresh...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam.
Umri = 31
Elimu = Form four
Uraia = Mtanzania
Uzoefu = Miaka minne
Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria
Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote
Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo
i/ legal research and writing skills,
ii/...
Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
Jina: Rich Mashauri
Mahali: Dar es salaam
Elimu: Muhitimu Bachelor of accounting with information technology (BAIT) chuo cha IFM
Miaka: 23
Gender: Male
Ujuzi: IT skills, accounting ethics na ujuzi katika maswala ya biashara na tax principals
Majukumu kwa sasa: Najiendeleza na masomo ya CPA...
Habari za mida wakubwa zangu!
Naitwa Mzelela Ally, nina miaka 25 ni dereva na nimesomea VETA pamoja na N.I.T. course ya Public Service Vehicle na nina lesen Class A, B, D, C1, E pia nina uzoefu wa miaka mitano hadi sasa.
Naomba kwa atakaekuwa na tenda za ajira ya udereva wa makampuni, binafsi...
Habari ya uzima.
Mimi naitwa Erick Bernard napatikana DSM kwa sasa.
Natafuta Kazi ya jikoni Kama kuuza supu ya kongoro, chipsi, kuku wa kukaanga, chakula na huduma zote za chakula.
Nina uzoefu wa hii kazi, nimefanya Sana hii kazi maeneo ya DSM kibamba, Mbezi na Banana Gongo la Mboto.
Nina...
Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu, nimesomea ualimu wa masomo ya Kingereza na fasihi ( English Language and Literature) pia nina uwezo wa kufundisha lugha ya Kifaransa (FRENCH)kwa ngazi ya chini ( beginners).
Natafuta nafasi ya kazi ili niweze kutumia maarifa na ujuzi wangu...
Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni, piah ni muhitimu wa stashahada katika fani ya PROCUREMENT, LOGISTICS AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT, nilikuwa naomba kazi ya aina yoyote Ile inayoweza kunifaa ndugu mtaani ni...
Habari zenu watanzania wenzangu.
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari.
Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni mnisaidie kwa hili sichagui kazi japokuwa nimesoma.
Habari za muda huu wana jf,
Nina shida na natafuta kazi, nina Certificate of Achievement, natafuta kazi ya counter (nina uzoefu), duka la simu au la nguo (accessories) kwa mwenye connection please anisaidie.
Habari WanaJF mimi ni kijana wa kiume (25) shupavu mwadirifu na nimwaminifu .Sina ELIMU sanaa Nina certificate ya 4m4 tu, nipo hapa kwa ajili ya kuomba kazi ndugu zanguni, nikipata kazi yoyote ambayo inayoweza kusongesha maisha yangu nitashukuru
Naombeni mnisaidie
Asanteni
Salute kwa wanajamii wote!
NB: Nipo tayari kufanya kazi mazingira ya mjini au Vijijini.
KWA MASHIRIKA YA VIKUNDI VYA KIJASILIAMALI
naweza Kuunda mashine,mbalimbali zinazotumia teknolojia ya kisasa na kuzisimamia kwa ajili ya miradi ya vikundi na wajasiliamali.
Mfano:
*Maashine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.