Bado sijapata leseni.
Experience: 1 month, internship SUN PHARMACEUTICAL INDUSTRIES LTD. (section: Production and quality functions).
Looking for any opportunity available especially in industries and pharmacy, including volunteer.
Ninapatikana DAR ES SALAAM.
Contact: 0675 111 890
Habari za mda huu Naitwa Denis manase mmi Ni fundi wamagari nipo Arusha natafuta kazi hususan Ni ufundi wa magari naweza kutengeneza Magari kama
-Toyota
_Mistubish
_subaru
_tata
_nk
Kama Kuna mtu Ana huitaji wa fundi au company nipo tayari napatikana kwa number 0616484807
Asalaaam alekyum.
Apewe sifa yesu.
Mimi ni mwalimu wa masomo la Kiingereza na Geography. Ninauzoefu wa kazi miaka 6. Ninauwezo mkubwa wa kumuongoza mwanafunzi vizuri mpaka akaelewa pasipo kukariri.
Asante
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kitanzania ,mwenye nia ya kufanya mabadiliko kwa kuleta chachu ya maendeleo kwa kushiriki kulipa kodi na kufanya majukumu mengine kama raia
Changamoto yangu ni kama vijana wengine wa kitanzania tuliozqliwa kwenye wimbi la umaskini kukosa hata mitaji ya...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri.
Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama..
Uzoefu nlionao driving.
Kulinda.
Kufuga.
Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu.
Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM.
Niko juu ya mawe...
Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu.
mawasiliano: 0656058186
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana.
Elimu yangu:
Shahada ya Uhasibu
Ujuzi:
Microsoft office
Excel
Computer
Kazi nazo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi
Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB
Uzoefu sio mkubwa niliwai kujitolea katika hospitali ya Nkinga kama supplier officer/ storekeper...
Samahani mimi ni operator wa wheel loader na excavator , nimeangaika sana na excavator nkakosa connection nkaamua niingie kwenye loader nmepata ujuzi na npo vzuli kwajili ya kazi ila excavator bado jaman anaeweza naomba msaada nipate mtu wa kushinda nae kwenye excavator npate ujuz wa kazi au...
Habarini wadau kwema wote humu, natumaini wote wazima humu Mwenye changamoto yoyote ya kiafya MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA.
Niende kwenye mada Moja kwa Moja wadau natafuta kazi ajira yoyote kama naweza kupata ata connection mnaweza kunipa, kazi ni kipimo cha utu, napatikana Musoma kwa wadau wa...
Habar wakuu!
Natafuta kazi ya ulinzi
umri; 28yrs old
Elimu; kidato cha 6, chuo but #dropout kwa sababu za kifedha lakn sio ishu
Mafunzo; JKT, Op; makao makuu Dodoma
Uzoefu; 3yrs of experience
Napatikana; Kimara-DSM
uwezo wa kutumia silaha; rungu,Smg,pump action s/machine gun
#niko...
Dah ngoja nijalibu tena kuomba labda ipo siku mungu ataniona.
Habari ndugu zangu poleni na uvumilivu wa kungojea muujiza wa mungu..usijali jua aupo peke yako wengine tunakalibia mwaka wa pili sasa atujaona cha muujiza wala cha nn na kama kuomba tunaomba sana..kuna mda unaweza ukakufuru anyway...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume niliesoma Diploma ya Laboratory technician kutoka chuo cha DIT napatika Dar-es-salaam, natafuta kazi kwenye shule au viwanda mkoa wa wowote nchini.
Asanteni.
Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika.
Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
Mimi kijana wa miaka 35. Natafuta kazi, short term au long term. Nina elimu ya chuo kikuu na experience kwenye sales, marketing na project management. Kwa Sasa Sina kazi lakini niko tayari kufanya kazi yeyote nitakayoiweza. Niko flexible sana na open minded
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.