👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫👨🏫
NATAFUTA KAZI YA UALIMU
Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu, nina uzoefu wa miaka minne wa kufundisha shule za msingi na sekondari. Ninafundisha masomo ya Kiingereza, Historia ya Tanzania, CME, Kiswahili, Jiografia na Mazingira, na Elimu ya Jamii kwa shule za...
Wakuu habari? Nahitaji msaada wa kazi.yeyote anayefaham kazi ilipo naomba aniambie.Nina ujuzi wa laboratory ,QC pia kazi yoyote nitafanya.hapo chini ni part ya CV yangu pamoja na certificate training .asanteni sana
Habari wakuu hongereni kwa mwaka mpya.
Nikienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi natafuta kazi yoyote ila nina uzoefu wa miaka 2 laboratory technician pia quality control pia nina uzoefu wa blending operator yaani uwezo wa kublending products zote hasa za spirit mfano konyagi, vodica, value...
Hello wapendwa,Mimi ni binti Nina miaka 26
Ninaishi Dar es salaam
Natafuta kazi/Nahitaji kazi yeyote ambayo HAIVUNJI SHERIA ZA MUNGU na HAIVUNJI SHERIA ZA NCHI
Nina certificate ya (Medical attendant)
Hivyo hata Kama ipo ya inayofanana na hiyo fani yangu pia sawa.
Naenda mkoa wowote kazi...
Mimi ni Mwalimu, nina diploma masomo ya chemistry na Biology uzoefu katika kufundisha ni miaka minne, nina uzoefu kwa primary schools kufundisha science and mathematics na secondary schools mwenye shule ama anaejua shule inayoitaji Mwalimu Tafadhali tushirikishane haswa shule za Arusha na...
Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali
Umri: 23
Elimu form 4, diploma
Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja.
0622998765
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam.
Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa...
Mimi NI kijana wa miaka 23
Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada hivyo nimeipata certificate course insurance and Risk management
Na Nina uzoefu wa kuuza Duka kwa...
Habari wana JF,
Mimi ni mhitimu wa ufundi umeme majumbani mwaka wa pili. Nipo Dar Natafuta kazi hata ya kujitolea ili kuongeza ujuzi na uzoefu katika fani yangu.
Nina imani hapa JF wapo watu watanisaidia katika hili.
Asanteni🙏
Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time.
Nilikuwa...
Habari,
Mimi ni kijana umri miaka 27 mkazi wa Dar es Salaam, natafuta ajira ya udereva wa class A2,D Kwa magari madogo ya biashara ama binafsi.
Tupeane ajira ndugu zangu kuukimbia umaskini.
Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano.
Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara.
Natumaini ntapata kazi, Asante 🙏
Habari,
Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu katika chuo cha uhasibu Dar es salaam kwa ngazi ya Degree (Degree in accountancy) kwa sasa napatikana Dar es Salaam. Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote.
Nina uzoefu wa miaka 5 katika mauzo ya Sola kwenye kampuni ya offgrid electric power maarufu kama Zola. Mpaka sasa nafanya kazi katika kampuni hiyo
Nilianza kama afisa mauzo wa kawaida na badae sales leader
Kitaaluma ni mwalimu kwa ngazi ya degree
Kusimamia teams za mauzo na motivations kwa...
Habarini WanaJF
Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana.
Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific
Natanguliza shukrani
Habari wakuu kwema nyote, natumaini hamjambo wote,
Sawa baada ya salamu naomba nije kwenye jambo langu hili, mimi ni kijana jinsia me miaka 27 nipo musoma, natafuta kazi yoyote iwe na angalau narudi na chochote kitu jioni,
Nipo tu sina mishe yoyote wala kazi, naomba tafadhali kama...
Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.