Hello wadau,
Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi.
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie.
Asante
Habari ya wakati wadau wa JamiiForums.
Naitwa Godfrey Chuma, natafuta kazi yeyote mahali popote ilimradi tu nipate kitu cha kuweka mdomoni. Iwe viwandani, kwenye makampuni au hata kwa mtu binafsi kwangu ni sawa, vyeti vipo kama vitahitajika. Kwa atakae guswa kunisaidia namba yangu ni...
Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970
Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo
N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
Naomben mwenye kunisitil anisitili ndugu zangu. Pakuishi ninapo lakin sina kazi ndugu zangu
Naombeni mwenye kunisaidia anisaidie kazi yeyote tu
Asanten sana MUNGU AWABARIK SANA
Mara nyingi nakuwa niko ST Joseph nikipiga Ibada
Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu.
Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
Wakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia.
Naweza kufanya mahakamani, kwenye law firm mbalimbali, etc iwe internship au vyovyote na mahali popote Tanzania.
Kwa yoyote atayeguswa hata kwa connection...
Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu...
Ninatafuta kazi, Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania.
Natanguliza shukrani🙏
Habari wana jamii,
Naomba kwa yeyeto mwenye connection ya kazi ya Health, Safety and Environment (HSE) popote aniunganishe.
Nina Degree ya Environmental Planning and Management pia nina NOSHC I, OHS Risk Assessment zote kutoka OSHA pamoja na Computer Certificate.
Kwa yeyeto anayeweza...
Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari.
Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya.
Asanteni 🙏
Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis, mwenye umri wa miaka 24, mwenye makazi ya mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni.
Elimu yangu ni Ngazi ya cheti pia ni muhitimu muhitimu katika chuo kikuu Cha Dar Es Salaam Maritime Institute mwaka huu wa masomo wa mwaka 2024 katika level ya...
Wasifu wangu;
JINSIA; Me
UMRI; 24-26
ELIMU; Bachelor of business administration
MAKAZI; Dar- kigamboni
Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
Habari zenu watanzania wenzangu.
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari, Afisa Uhusiano au call center
Napatikana Dar es salaam, Wilaya ya Ubungo.Asanteni.
Soma Pia: irect Sales Agent – 85 Positions at Akiba Commercial...
Ni matumaini yangu mu bekheri wa afya wakuu kwa wanaoumwa poleni sana na mtakuwa sawa tena.
Mimi ni kijana wa miaka 26 -28 nipo Jijini Mwanza ahangaika ila katika mihangaiko yangu mambo yamekuwa magumu deals zimekata kbs hadi nachanganyikiwa pesa sina kodi ndio imefika na kama mjuavyo Mwanza...
Mimi ni kijana wa kiume miaka 21 Nina elimu ya form six
Nimeshindwa kujiendeleza na masomo mwaka jana maana nilikosa mkopo
Hivyo basi natafuta kazi yoyote maana nilikokuwa nimejishikiza mwenyewe amefunga
Napatikana kwa 0622905303
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu
kwa mwenye connection naomb msaada🙏.
Update:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.