natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Natafuta kazi wana JamiiForums. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Mkazi wa Kigamboni. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani [ procurement, logistics and supply chain management] Kutokana na changamoto za kimaisha imenibidi kutafuta kazi na siyo kuajiliwa tenah, hivyo nilikuwa naomba kazi, mwenye...
  2. Natafuta kazi

    Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo
  3. Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  4. T

    Natafuta kazi za viwandani, mgodini

    Natafuta kazi za viwandani ,mgodini au zingine zinazoendana na taaluma ya chemistry ni mhitimu wa Shahada ya sayansi katika chemistry na Biology ( Bachelor of science) popote nafanya kazi Tanzania au hata nje ya Tanzania
  5. M

    Natafuta kazi ya Accountant, Cashier au Customer Services

    Hello mimi ni binti wa miaka 23 nimehitimu chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka jana 2024 Bachelor of Commerce in Accounting. Mimi kama kijana nahitajii kazi ili niweze kutimiza ndoto zangu maana saizi nipo tu nyumbani roho inaniuma sana naombeni msaada wenu kwa atakayeguswa na hili. Asanteni...
  6. M

    Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

    Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  7. N

    Natafuta Kazi ya sales

    Habari wakuu Mimi ni ke umri miaka 25, natafuta kazi yoyte halali ndani ya Dar, naishi Kigamboni, nina uzoefu na kazi ya uwakala na sales. Nina Nida, TIN na Certificate... Naomba msaada wenu jua ni kali mno🙏
  8. M

    Natafuta kazi ya cashier or customer service nipo jijini Dar es salaam

    Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  9. M

    Natafuta kazi ndugu watanzania naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam naombeni msaada wenu 0713776534
  10. M

    Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu 0713776534
  11. M

    Natafuta kazi ya uhasibu au customer services

    Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu natafutaa kazi 0713776534
  12. Natafuta kazi

    Habarini za muda huu, nina umri wa miaka 26, jinsia me, napatikana mwanza, nipa hapa kutafuta kazi, mimi ni clinical assistant (CA) Nina kila kitu, leseni hai na vyeti vya taaluma, nina experience ya kazi kwa muda wa miezi 8 nikiwa dispensary, natanguliza shukurani
  13. B

    Natafuta Kazi mwenye connection yoyote ya kazi sehemu yoyote Tanzania

    Habarini ndugu zangu Nipo hapa natafuta kazi yoyote viwandani, ofsini au mashirika yani popote pale penye kazi halali ya kutumia nguvu au akili, niko kwenye hali ngumu sana ya kimaisha, niko kwenye kipindi kigumu sana na kielimu nina degree ya Geography na Environmental studies niliyomaliza...
  14. J

    Natafuta kazi yoyote halali

    Naitwa Jerald, nina miaka 26. Nipo Dar es salaam, natokea mkoa wa Mwanza. Natafuta kazi yoyote halali iwe ulinzi, dukani au usafi. Nina elimu ya kidato cha sita.
  15. Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

    Jamani hali ngumu, Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection. Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali. Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au? Niko Dodoma mjini. Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako...
  16. J

    Natafuta kazi kwenye makampuni ya usafirishaji, bandarini na taasisi yoyote

    Habari zenu? Mimi ni kijana wa kitanzania (me) natafuta kazi kwenye makampuni ya usafirishaji, Bandarini na Taasisi yoyote Simu 0742548727
  17. Nina shahada ya sheria, natafuta kazi.

    Habari wana JF Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com kwaajili ya CV yangu. Asanteni sana!
  18. N

    Natafuta kazi ya dukani

    Habarini ndugu zangu, kwa majina naitwa Nuru, mkazi wa Dar es salaam, Kimara Korogwe. Natafuta kazi ya dukani, nina uzoefu nayo, nimefanya sehemu tofauti tofauti. naombeni mnisaidie ndugu zangu.
  19. E

    Natafuta kazi ya kufundisha majumbani

    Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
  20. Natafuta kazi, Vipimo na viwango wa viwandani, pia Quality assurance na calibration of Measuring instruments

    Habari Member wa Jf Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango ( Metrology and Standardization) Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing; Pia nina uzoefu katika field zifuatazo -Calibration of measuring...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…