Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula
Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe mweusi, wala mnene sana, Mkristo itakuwa vizuri hata akiwa Dini nyingine sawa ila akubali kuolewa na...
Nahitaji kuoa mke wa pili awe na sifa zifuatazo:-
Dini yoyote ila watoto wangu watakuwa wakristo
Umri kati ya miaka 25 hadi 35
Awe mwajiriwa.
Awe tayari kuwa mke.
Akiwa na mtoto mmoja tayari hakuna shida.
Asiwe mgomvi wala mchokozi wala kupenda ugomvi.
Asiwe mtu wa kuchukua mikopo pasipo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29
Naishi Morogoro
Dini mkristo
Kazi ni mwalimu
Mke awe na sifa hizi;
Mrefu kiasi
Awe na kazi sio golikipa
Miaka 20_27
Awe na tabia njema
Ukiwa na sifa hizo please nicheki PM
Habari, jina langu halisi ni Baraka, nina miaka 39.
Kwa sasa, niko katika hali ngumu maishani. Sina makazi wala mali, na bado najitahidi kujenga maisha yangu upya. Hata hivyo, nina imani kwamba hali yangu itabadilika kwa wakati na mimi nitakuwa sawa baada ya muda.
Natafuta mwanamke mwenye moyo...
Umri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
Mimi ni Mwanaume wa miaka
27 ,
Dini yangu , ni mkristo.
naishi DAR
kazi yangu ni muajiliwa
elimu yangu ni DIPLOMA.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
*awe mkristo
*Awe anaishi dar
*awe ameajiliwa au anafanya biashara
awe na miaka kwanzia 20 adi 26.
*ALIYE TAYALI NA MWENYE SIFA HIZO...
Mimi ni Mwanaume wa miaka
27 ,
Dini yangu , ni mkristo.
naishi DAR
kazi yangu ni muajiliwa
elimu yangu ni DIPLOMA.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
*awe mkristo
*Awe anaishi dar
*awe ameajiliwa au anafanya biashara
awe na miaka kwanzia 20 adi 26.
*ALIYE TAYALI NA MWENYE SIFA HIZO...
Habari wana JF, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu, Nipo hapa kutafuta mwanamke serious ambae atakuwa mke endapo tutaridhiana, sifa zangu ni zifuatazo;
Umri: 30
Elimu: Degree
Mahali ninapoishi: kaskazini mwa Tanzania
Dini: Mkristo
Kazi: muajiriwa serikalini
Sina mtoto wala...
Good morning every one!
Niende kwenye mada moja kwa moja. Dear Wana JF napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa.
My personal details.
Jina : Langliguara
Jinsia : male
Kazi : Mfanyabiashara
Elimu : MA
Dini : Christian
Umri : 38
Ninapoishi : Tanzania
Kabila...
Habari za mida wapendwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
Habari za majukumu ndugu zangu wote!
Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni BIKRA.
Nina sababu zangu nyingi saana, awe na age yoyote japo najua Bikra wengi watakuwa range ya...
Habari.
Umri wangu ni miaka37 natafuta mwanamke wakuoa. Kazi nimejiajiri.
Mwanamke ni mtakaye.
Awe na umri kuanzia 28 nakuendelea.
Awe tayari kuishi popote,Asiwe mrefu Sana,,mwenye upendo wakweli,Dini yeyote.
Karibu sana iwapo upo serious tu maana muda ukuta.
Kama kisemavyo kichwa cha habari natafuta mke awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 25 mpaka 28
Awe mkristo ila sio msabato
Elimu-degree yeyote
Akubali kwenda kupima group la damu, hivi na baada ya miezi mitatu tutapima tena hiv bila ya kukutana kimwili
Awe anaishi Dar sababu mimi mwenyewe...
Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs
Nipo Dar es Salaam
Natafuta Mke wa kuoa.
Vigezo:
●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌
○Umri 24-48😎
●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵
○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃
●lazima awe na Bubbly Ass🍑
○ kuhusu...
Habari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo,
Umri kuanzia 23-25
Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma
Kazi -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.